Hivi huwa mnamaanisha nini kwa tabia hii enyi wanaume na wavulana?

Hivi huwa mnamaanisha nini kwa tabia hii enyi wanaume na wavulana?

Hela anaitoa mbele ya kadamnasi ili kuufahamisha umma kuwa wewe ni wake na kwamba mtu awaye yeyote asidiriki kukufuta.
Mbona mimi huwa ninatoka na demu wangu halafu nikifika mbele ya kadamnasi humpiga denda wakati nyumbani huwa asimpigi denda.
Wenzetu wazungu wanawatoa out wapenzi wao na kuwapiga kwa fimboyaukwaju mbele ya kadamnasi ile kila mtu ajue mmiliki wa demu husika.
Hahahahah unaimarisha utawala
 
Wadada na visirani visivyo na msingi
Siyo visirani huyo Dada anaoneka ni mtu mwenyeaibu sana akifanya jambo anahisi watu watamuonaje huu ugonjwa upo kwa Watanzania wengi, hii tabia inasababishwa na Ujamaa, Wazangu wao hawana aibu kabisa yani unaeza ukatembea na Mzungu mfano ukaenda nae Kununua bidhaa sehemu na ukavaa kawada sana chini ukavaa ndala na akushangai na asemi unamtia aibu.
 
Bora wewe una moyo wa shukurani😂 mtu kama mtoa mada akawilii kusema mbona umenipa efu tano? Niongezee ni ndogo sana.
Ukipata mtu ana moyo hata wa kukupa hio nauli ni jambo la kushukuru.
Hata kama ndo mtunange nazo!?.
 
Siyo visirani huyo Dada anaoneka ni mtu mwenyeaibu sana akifanya jambo anahisi watu watamuonaje huu ugonjwa upo kwa Watanzania wengi, hii tabia inasababishwa na Ujamaa, Wazangu wao hawana aibu kabisa yani unaeza ukatembea na Mzungu mfano ukaenda nae Kununua bidhaa sehemu na ukavaa kawada sana chini ukavaa ndala na akushangai na asemi unamtia aibu.
Wala haihusiani na aibu, kwani ukikpa mtu pesa mkiwa wenyewe haifiki mpka ukampe mbele za watu!?.
 
Yaani utakuta mtu amekutoa out mtaongea weeee, sasa muda wa kuondoka anakusindikiza mpka stand ndo unakuta anatoa elfu Tano au elfu kumi anakupa mbele ya kadamnasi itakusaidia nauli.

Khaa!! Yaani koteeee huko hukuona fursa ya kutoa hiyo nauli mpka usubirie mbele za watu ndo uitoe, ukiitoa wakati tupo wenyewe ingekuwaj?

Au mume anakuja nyumbani kabebelea matunda kwenye vifuko vile vyeupe, au kashikilia mkononi, kwani mifuko hakuna huko ulipotoka!?, Mpka uje unavinanga barabarani?

Utakuta wengine anatembea umbali mrefu na matunda yake mkononi.

Huwa mnafanya hivyo kwanini!? Mimi nimeshindwa kuwaelewa kbsaaa. Hebu tuelewesheni.
Waume zako wabaya sana
 
Imagine umeshafunga ndoa na mwanamke kama huyu tena ya kanisani kufa na kuzikana pata picha hayo masimango humo ndani ya nyumba. Kubabeki. Ukisikia kuyakanyaga ndio huku sasa
Utaipata picha ukikomaa na misinamo ya kuninanga na Hela barabarani, ukinipa ndani hakuna noma itakufanyikia😂
 
😂😂😂😂
Angekupa 100k au 1M ungetaka akupe kwa kuficha ficha?

Angekununulia gari je? Usingetaka alilete na mapulizo juu watu waone? Ungetaka asubiri
Watu walale ndio alilete?

Haya Extrovert mna swali lenu huku.
You nailed it!

But hapo kwenye "mapulizo" 😂😂😂😂
 
Utaipata picha ukikomaa na misinamo ya kuninanga na Hela barabarani, ukinipa ndani hakuna noma itakufanyikia😂
Wanaofanya hivyo ni watoto sio wanaume kama sisi.
Mimi sikupindi ila nimeelezea tu jinsi unavyojali maadili ambayo mtu anatakiwa awe amefundishwa jinsi ya kubehave sehemu yoyote hio.
Sasa wewe ndio unatakiwa utumie akili kwenye kuchagua sio kila mwanaume anayekuja tu unakubali mwisho wake unakutana na vichaa. Kwanza why akupe elfu 5 siku ya date mbona ndogo sana au bado upo chuo?
 
Huwa tunafanya hesabu muda wote tutoe sh. Ngapi
Je haita athiri ratiba zilizobakia
Je nikimpa mapema si ataacha kuweka umakin kwemye story zetu na kuanza kuwaza kiasi nilicho mpa
Je nikimpa mapema si anaweza kusema hii ndogo niongezee nna shida hii na hii
Kumkomoa unampa mwishon kwenye kituo cha gari au boda, huwez kukumbana na utitiri wa maswali au lawama
 
Back
Top Bottom