secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Hela anaitoa mbele ya kadamnasi ili kuufahamisha umma kuwa wewe ni wake na kwamba mtu awaye yeyote asidiriki kukufuta.Yaani utakuta mtu amekutoa out mtaongea weeee, sasa muda wa kuondoka anakusindikiza mpka stand ndo unakuta anatoa elfu Tano au elfu kumi anakupa mbele ya kadamnasi itakusaidia nauli.
Khaa!! Yaani koteeee huko hukuona fursa ya kutoa hiyo nauli mpka usubirie mbele za watu ndo uitoe, ukiitoa wakati tupo wenyewe ingekuwaj?
Au mume anakuja nyumbani kabebelea matunda kwenye vifuko vile vyeupe, au kashikilia mkononi, kwani mifuko hakuna huko ulipotoka!?, Mpka uje unavinanga barabarani?
Utakuta wengine anatembea umbali mrefu na matunda yake mkononi.
Huwa mnafanya hivyo kwanini!? Mimi nimeshindwa kuwaelewa kbsaaa. Hebu tuelewesheni.
Mbona mimi huwa ninatoka na demu wangu halafu nikifika mbele ya kadamnasi humpiga denda wakati nyumbani huwa asimpigi denda.
Wenzetu wazungu wanawatoa out wapenzi wao na kuwapiga kwa fimboyaukwaju mbele ya kadamnasi ile kila mtu ajue mmiliki wa demu husika.