Hivi huwa mnamaanisha nini kwa tabia hii enyi wanaume na wavulana?

Hapo mwisho umeamua kunisema mimi sioπŸ˜‚πŸ˜‚ yaani mimi ni wa kupewa push present ambayo haina kadi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo mwisho umeamua kunisema mimi sioπŸ˜‚πŸ˜‚ yaani mimi ni wa kupewa push present ambayo haina kadi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Eeh kadi ya nini🀣 utapewa kwenye 50th annivesary
 
Mim nikimaliza kushenyenta demu geto, Kwa kawaida huwa naweka pesa chini ya kiboksi cha earbuds ambacho kipo kwenye showcase. Tukimaliza tu Namwambia funua hapo, anachukua kilichopo anasepa mwenyewe, Wala hawajawahi kusema mbona unanipa hii? Mpaka leo najiuliza kile kiboksi kina uchawi ganiπŸ˜€
 
Pole sana
 
Mambo mengine hayana hata madhara ni kuyapotezea tu. Angalau hata huyo anatoa hata kama ni mbele za watu kuliko wale wazee wa kujikausha. Tujifunze kupotezea mambo madogo madogo, haidhuru chochote.
 
Maana yake hilo ni deni umekopeshwa mbele za watu ili wawe mashahidi kwa siku zijazo
 
Unapenda vitu vifichwe fichwe?.. Ukiendelea hivi nawe utakuwa wa kufichwafichwa, yaani mchepuko.. Jiepushe na hili pepo.
 
Umalaya tu, asingekupa napo ungeleta Uzi wa majonzi..sasa pesa yake alafu mipango ya namna ya kukupa umpangie wewe..kuna kasoro fulani mnayo si Bure....kwanza Hilo ten ni kubwa mno, angekulipia nauli kabisa akabaki na chenji yake...

Wanawake tafuteni pesa zenu wenyewe acheni kupenda Bwerere, pesa ni ngumu mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…