that manzi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 385
- 1,246
- Thread starter
- #21
heee🙌🏿😂Tunataka kuona kama mnetuona na kama ilikuwa bado basi mjue kuwa ni mimi nimepita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
heee🙌🏿😂Tunataka kuona kama mnetuona na kama ilikuwa bado basi mjue kuwa ni mimi nimepita
oke oke 😂Kuna watu wapo Kwenye mahusiano ama ndoa baada ya kukutana mazingira kama hayo....
Wacha waendelee kufungua vioo vya magari yao na kuthaminisha mali safi
si ni life tuTunawashangaa mnawezaje kusimama na jua lote kali
yaaaniWanatuona masokwe
am just curious sina hata makasiriko😂😂Punguza makasiriko 🤣🤣🤣🤣waache watambe na majeneza yao yanayotembea
Hahahaha...nimecheka sana😂😂uzuri huku wote wana magari utapata majibu
ukisimama kituoni macho lazima yawe kwenye gari za barabarani siwezi geuza shingo kwengine lakini we dereva unetoka huko macho mbele ufike kwenye watu ndo ugeuze shingo pembeni akati unaenda mbele😎Wewe kwanini unashangaa gari la mtu, mpaka unajua amegeuza shingo, kwanini unashangaa gari lake?
Unahisi unamjua dereva? Au unaangalia kama anaweza kukupa lift?
Au unashangaa kwanini anamiliki gari?
🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿dahKuna mwamba mmoja aliwahi sema kuwa alikuwa anawaona watu waliojaa kwenye daladala kama mang'ombe lkn baada ya kufilisika alielewa kumbe ni abiria
😂😂😂😂Wenye magari toeni majibu ya kueleweka basi😁😁
Hayo mambo hayaangalii umri, mara ya mwisho nilimuoma Mzee mmoja wa Rika langu naye akiangaza angaza macho pale Mwenge stendi 😜🤗oke oke 😂
kumbe ndo mnayoangalia😂😂😂Hayo mambo hayaangalii umri, mara ya mwisho nilimuoma Mzee mmoja wa Rika langu naye akiangaza angaza macho pale Mwenge stendi 😜🤗
Binafsi hayo mambo nimemwachia mshamba_mwingine baada ya kuona nikitaka kusababisha ajali Kwa kuendekeza kuangalia yaliyomo yamo humo barabarani 🙌
Sio vibaya kuangalia sifa za uumbajikumbe ndo mnayoangalia😂😂😂
na ndo hapohapo nilipogundua hilo😂😂😂🙌🏿🙌🏿Sio vibaya kuangalia sifa za uumbaji
Tena stendi ya Mwenge na hapo Makumbusho ndiyo balaa, unaweza kuvunjika shingo 😜
Ulikuwa wapi we?uzuri huku wote wana magari utapata majibu
usirudie tena mkuu
Halafu vinguo vyao plus vile vikukuu miguuni, Usipokuwa makini unaweza kujikuta unavunja shingo bure Kwa kuangalia yaliyomo 🙌na ndo hapohapo nilipogundua hilo😂😂😂🙌🏿🙌🏿