Hivi huwa mnashangaa nini?

Hivi huwa mnashangaa nini?

Habari za jumapili wana jf,

naomba kuwauliza wenye magari yenu hivi mkiwa mnapita kwenye vituo mkakuta watu wamesimama huwa mnagueza shingo zenu kushangaa nini?

mnahisi kuna watu mnawajua?
mnaangalia kama kuna watu mnaweza kuwapa lift?
au mnatushangaaa kwanini hatuna magari? au tunaonekana mga kama vikatuni😂

mje mnijibu😂
Tunawaringishia magari yetu😂😂
 
😅😅😅😅
 
Wajibu wao kuendesha magari siyo kutazama walioko vituoni
 
Back
Top Bottom