Hivi huwa mnashangaa nini?

Hivi huwa mnashangaa nini?

Wewe kwanini unashangaa gari la mtu, mpaka unajua amegeuza shingo, kwanini unashangaa gari lake?
Unahisi unamjua dereva? Au unaangalia kama anaweza kukupa lift?
Au unashangaa kwanini anamiliki gari?
ukisimama kituoni macho lazima yawe kwenye gari za barabarani siwezi geuza shingo kwengine lakini we dereva unetoka huko macho mbele ufike kwenye watu ndo ugeuze shingo pembeni akati unaenda mbele😎
 
Hayo mambo hayaangalii umri, mara ya mwisho nilimuoma Mzee mmoja wa Rika langu naye akiangaza angaza macho pale Mwenge stendi 😜🤗

Binafsi hayo mambo nimemwachia mshamba_mwingine baada ya kuona nikitaka kusababisha ajali Kwa kuendekeza kuangalia yaliyomo yamo humo barabarani 🙌
kumbe ndo mnayoangalia😂😂😂
 
Ninawaza ule mbanano kwenye daladala iweje mtu uambiwe sogea halafu unasogea hata kama nafasi imeisha?
 
Back
Top Bottom