Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kushukuru dada (Binti)/ mamaAsante kaka 😊
Kama ukoo wenu sanasana baba na mama shuleni walikua apeche alolo mtoto kufaulu inahitaji kutoa kafara/sadaka🙃Uwi sasa nifanyeje nataka kupasua paper 😅😅😅😅😅😅
Asante kaka kwa ushauri mzuriKusoma hakuna formular..
Kuna wengine wakali wa kukariri na kuna wengine bila kuelewa tulikuwa hatutoboi..
Kwa hiyo Wewe jua ni jinsi gani akili yako inafanya kazi kwa ufanisi zaidi na jiwekee ratiba inyoendana nayo. Japo kujiumiza sometimes inaruhusiwa maana kama kufaulu kwa kawaida imeshindikana, unaforce kidogo
Pia sali kiasi maana jitihada hazizidi kudra lakini pia kuna wengine hawana tabia au vinasaba vya kufaulu maana ukoo mzima hakuna aliyewahi kufaulu. Kwa hiyo mlima huwa mkubwa kwao
Kufaulu ni bidii sio bahati. NakusabahiKufaulu ni bahati!
Olevel nilikua sisomi na nilikua napasua vibaya mno
Advance nilikua nasoma tembo ila matokeo Sisimizi.
🙏🏽🙏🏽Asante kaka kwa ushauri mzuri
Ni juhudi ya mu tu binafsi nimesoma kozi wanazodai ni ngumu nanikafaulu na bhangi na pombe nimetumia sana tuIli ufaulu acha kuwaza mipombe, michepuko, mibangi, vikoba
na kubeti