Hivi huwa mnasomaje ili kufaulu Mitihani?

Hivi huwa mnasomaje ili kufaulu Mitihani?

Halafu watu wengi tu smart wanapuliza bhangi. Ila ukiwaona kwenye biashara na makampuni huwezi kuamini

Tatizo watu wengi wanachukulia bhangi ni kama ya watu flani arosto na wakati ukiwakuta watu concious sanaa wengi tu wanavuta
Kabisa mkuu bhangi imepewa jina baya makusudi tu , yani mapombe yameruhusiwa eti ila bhngi imekatazwa loooooh.
 
Habari!

Naomba kufahamu mbinu za usomaji mzuri ili mtu aweze kufaulu vizuri mitihani yake na kufanikiwa kupanda ngazi nyingine.

Nitawashukuru sana.
Usikalili
Tumia nyenzo ( duche )
Jiwekee kwenye nafasi nzuri ya kupiga chabo
Soma kwa biidii uelewe, na kurudi rudie..
 
Kabisa mkuu bhangi imepewa jina baya makusudi tu , yani mapombe yameruhusiwa eti ila bhngi imekatazwa loooooh.
Pombe ina addiction kubwa sana Ila kwa sababu ni sehemu ya tamaduni zetu tunaichukulia sawa. Ila bhangi ni ya sehemu chache na mara nyingi inatumiwa vijiweni ambapo watu wengi wanafanya uhalifu kwa hiyo imehusianishwa directly na ubaya tu brother

Ila kuna watu wanavuta na wapo fresh kabisa
 
Level ya Chuo Kikuu
Level ya chuo kikuu ndio rahisi kuliko Ordinary Level na A-Level. Sikuwa mzuri wa kukariri hivyo ile style ya kusoma miaka minne halafu ukumbuke mambo yote kwa siku moja ilikuwa ngumu kwangu🤣! NECTA waliofaulu ni wale wenye cramming capacity ya hali ya juu. The most gifted.

I would consider chuo kikuu as the best level in academics. Kimsingi ni mahali ambapo shule ilikuwa nyepesi sana. Imagine vitu mnasoma vya miezi minne tu kisha mnaachana navyo. Haukuti mwaka wa tatu kuulizwa mambo ya mwaka wa kwanza.

Ningekuwa raisi ningeweka mtaala toka primary watu wasome kila darasa kivyake. Yani ukimaliza ya form one unaachana nayo for good.
 
Usikalili
Tumia nyenzo ( duche )
Jiwekee kwenye nafasi nzuri ya kupiga chabo
Soma kwa biidii uelewe, na kurudi rudie..
Hapo kwenye Chabo hapo sitaki kujiaibisha 😅😜😜 hayo mengine ntazingatia. Asante Bro.
 
Level ya chuo kikuu ndio rahisi kuliko Ordinary Level na A-Level. Sikuwa mzuri wa kukariri hivyo ile style ya kusoma miaka minne halafu ukumbuke mambo yote kwa siku moja ilikuwa ngumu kwangu🤣! NECTA waliofaulu ni wale wenye cramming capacity ya hali ya juu. The most gifted.

I would consider chuo kikuu as the best level in academics. Kimsingi ni mahali ambapo shule ilikuwa nyepesi sana. Imagine vitu mnasoma vya miezi minne tu kisha mnaachana navyo. Haukuti mwaka wa tatu kuulizwa mambo ya mwaka wa kwanza.

Ningekuwa raisi ningeweka mtaala toka primary watu wasome kila darasa kivyake. Yani ukimaliza ya form one unaachana nayo for good.
Kabisa jamani mambo ni magumu sana 😅
 
Pombe ina addiction kubwa sana Ila kwa sababu ni sehemu ya tamaduni zetu tunaichukulia sawa. Ila bhangi ni ya sehemu chache na mara nyingi inatumiwa vijiweni ambapo watu wengi wanafanya uhalifu kwa hiyo imehusianishwa directly na ubaya tu brother

Ila kuna watu wanavuta na wapo fresh kabisa
Hiyo wanayovuta wahuni sio bhange ni makushabu mkuu😁😁😁
 
Jitahidi sana kusoma sehemu yenye utulivu usio na mwingiliano wa watoto au kelele za magari au bodaboda, group discussion zina umuhimu wake ingawa ukimaliza kaa mwenyewe ukiwa na nguvu pitia yale uliyofundishwa huku ukifanya reference za past papers na vitabu ujue mfumo wa maswali inavyokuwa hawa kwa vile vitu unavyosomea.
Maana kuna muda unaweza kusomasoma bila malengo ukapishana na maswali, haitakusaidia, maana lengo ni kufaulu.

Jitahidi sana kusoma vitu vinavyoulizwa kwenye mitihani. Naamini itakusaidia
 
Kukumbuka kichwa kikichoka fanya jambo lingine nje ya masomo, hii biashara ya kusoma unaweka miguu ndani ya beseni la maji achana nayo
 
Binafsi kama siwezi kukariri NI mwendo wa kuelewa Tu.Na nilikuwa silazimishi kujisomea kichwa kikitaka kusoma,Nasoma hakitaki naachana nacho..Then Tangia form one Hadi namaliza chuo university sijawahi Fail na nilikuwa najulikana Kwa watu wangu wa Karibu kama mtabiri yaani sijawahi kosea kutabiri Swali🤣

Nakumbuka tukiwa Third Year semester ya mwisho niliotea maswali yoote 5 ya Financial Management nikasababisha class woote tukapata A 🤣
 
Back
Top Bottom