Hivi huwa mnasomaje ili kufaulu Mitihani?

Hivi huwa mnasomaje ili kufaulu Mitihani?

Habari!

Naomba kufahamu mbinu za usomaji mzuri ili mtu aweze kufaulu vizuri mitihani yake na kufanikiwa kupanda ngazi nyingine.

Nitawashukuru sana.
Jenga utamaduni wa kusoma everyday, and you will succeed. But soma at your own pace.

Usisome at the final kutaka kumeza kila kitu, you wont make it
 
Jenga utamaduni wa kusoma everyday, and you will succeed. But soma at your own pace.

Usisome at the final kutaka kumeza kila kitu, you wont make it
Asante sana Detective J. Nitazingatia.
 
Jiamini kuhusu taaluma yako, usisome muda mrefu.
Binafsi kwa siku ilikuwa sizidishi masaa mawili hata iweje.
 
Niliambiwa chuo bata kumbe bata mwenyewe ndio mimi
Soma kwa kuelewa hata ukisahau unaconnect kimoja ulichosoma na kingine unakumbuka
...
Kukariri pia inasaidia ila uwe tu makini usisahau maana ukisahau utabaki tu is the process whereby...whereby...whereby nini vile...whereby
Sali sana, piga maji mengi, soma ukiwa pekeako 30% in group 70% kuna wadau wanaijua paper inavokuja A-Z
zikifeli mbinu zote chabo+fomesheni ihusike
mambo ya Johniiiih laaa 7....John: siii nimejazaa siii
 
Back
Top Bottom