Ushauri wangu unaanzia hapa Fanya tathmini ya kuwa vitu ganii vinakukwamisha au kukupotezea Muda mfano TV,marafiki wambeya n.k mara moja unawakacha,Pia jitathimini ww ni Mtu ambae unasomaje utaelewa Sana ...Na mwisho utachaguwa mbinu pendwa za Kati ya hizi
•√Kuwa na discussion groups katika usomaji wako,
•Kuzingatia Yale mwalimu anayofundisha hata kama ukiwa off class au off mood,tenga Muda kwa siku WA private study labdah masaa mawili/ moja na nusu n.k kulingana na pumzi yako,
•Kuwa na utaratibu WA kufanya mazoezi (Pitia mapast papers,maswali mtandaoni n.k),
•Usipoelewa kitu tafuta WA kukueleza awe mtu /tutorial you tube ,Watu waliokuzidi level
•Kuwa na target za MDA mrefu ,MDA WA Kati na MDA mfupi hizo zinakuwa kama kipimo chako katika kusema mfano MDA mrefu sitaki C ,MDA WA Kati niwe nimemaliza topic kadhaa kwa kipindi fulani
•Shirikiana na Watu pia,by having strong circle ya study hawa watakuhamasisha Tu usome
Mwisho na la Kuzingatia ni Anza na maliza yote na Mungu ,unaweza kuwa unaona Giza ila mwombe Mungu afungue njia utatoboa