Hivi huwa mnasomaje ili kufaulu Mitihani?

Hivi huwa mnasomaje ili kufaulu Mitihani?

Binafsi kama siwezi kukariri NI mwendo wa kuelewa Tu.Na nilikuwa silazimishi kujisomea kichwa kikitaka kusoma,Nasoma hakitaki naachana nacho..Then Tangia form one Hadi namaliza chuo university sijawahi Fail na nilikuwa najulikana Kwa watu wangu wa Karibu kama mtabiri yaani sijawahi kosea kutabiri Swali🤣
Nitabirie na mimi jamani 😅
 
Au nizielezee kwa kiswahili
Screenshot_20250122-085735~2.jpg
 
Jitahidi sana kusoma sehemu yenye utulivu usio na mwingiliano wa watoto au kelele za magari au bodaboda, group discussion zina umuhimu wake ingawa ukimaliza kaa mwenyewe ukiwa na nguvu pitia yale uliyofundishwa huku ukifanya reference za past papers na vitabu ujue mfumo wa maswali inavyokuwa hawa kwa vile vitu unavyosomea.
Maana kuna muda unaweza kusomasoma bila malengo ukapishana na maswali, haitakusaidia, maana lengo ni kufaulu.

Jitahidi sana kusoma vitu vinavyoulizwa kwenye mitihani. Naamini itakusaidia
Asante kwa ushauri mzuri. Nitaufanyia kazi.
 
Punguza stress ni adui wa masomo. Yaani wekeza akili pale kwenye somo husika bebesha mzigo kama kwamba ukiteleza kidogo tu unapoteza mamilioni weee kila kitu kitajazana kichwani😂😂😂😂
Mbona kila nikisoma vinafutika 😅
 
Punguza stress ni adui wa masomo. Yaani wekeza akili pale kwenye somo husika bebesha mzigo kama kwamba ukiteleza kidogo tu unapoteza mamilioni weee kila kitu kitajazana kichwani😂😂😂😂
Hii njia nzuri sana 😅😅😅 wacha niizingatie kabisa hasa hapo kwenye kupoteza mamilioni ya Pesa
 
Week Picha ya Lissu Ukutani! Angalia Huku Inasoma Lazima Utalewa sana na Kufaulu!

Maana Lissu ni Muujiza Unaoishi
 
Back
Top Bottom