Hivi huwa mnasomaje ili kufaulu Mitihani?

Hivi huwa mnasomaje ili kufaulu Mitihani?

Weka umakini wako wote katika unachosoma kwa wakati huo, ikitokea mawazo yakahama kwenda kwenye kitu kingine, weka alama upande wa kulia wa hiyo page unayoisoma.

Kila mawazo yako yakihama unaweka alama, pia jitahidi kuelewa unachokisoma, pia free time jitahidi kusoma vitabu(hardcopy), kitabu chochote hata kama cha mwamposa wewe soma.

Kama ni kichwa ngumu, vita bangi halafu nenda kasome, utajikuta kila kitu unakielewa(I'm serious)
 
Level gani upo ?

Njia ya uhakika soma kipindi Akili bado haijachoka .

Mfano Mimi nilikuwa nasoma Ahsubui Sana kumi hadi Saa moja au mbili .

Na mbinu nyingine nzuri Una-solve past paper unapitia mitihani ya nyuma kuangalia maswali Mbali mbali mbali na kuyafanyia Kazi.
 
Kifaulu ni bidii sio bahati. Nakusabahi
Usinikumbushe mkaka mmoja olevel alikua na bidii vibaya mnooo
Kwenye makosa ya kuchelewa kukusanya kazi humkuti, kukimbia vipindi humkuti

Muda wote anasoma, anamuuliza mwalimu maswali ila matokeo yakija yeye ni wa mwisho.
Ubaya tulikua na mitihani kila wiki na kila wiki lazima achapwe.

Ilifika kipindi walimu wakawa hawamchapi tena sababu wanaona juhudi zake ila ndo hivyo kitabu kinamkataa.
 
Nitazingatia yote ya juu uliyonishauri hapo kwenye bangi ntachanganyikiwa 😅😅😅 sijawai. Mtoto wa kike anavuta bangi jamani?
 
Level gani upo ?

Njia ya uhakika soma kipindi Akili bado haijachoka .

Mfano Mimi nilikuwa nasoma Ahsubui Sana kumi hadi Saa moja au mbili .

Na mbinu nyingine nzuri Una-solve past paper unapitia mitihani ya nyuma kuangalia maswali Mbali mbali mbali na kuyafanyia Kazi.
Niko Chuo.

Asante sana nitazingatia yote uliyonishauri na nitaleta mrejesho. 😊
 
Fanya discussion na wenzako, solve sana maswali ya tutorial
Kama chuo chenu kina branches, uwe unafanya mitihani ya ile branch nyingine sababu walimu wanarudia mitihani.
Asante kipenzi. Wacha nifanye hivo na nitaleta mrejesho
 
Usinikumbushe mkaka mmoja olevel alikua na bidii vibaya mnooo
Kwenye makosa ya kuchelewa kukusanya kazi humkuti, kukimbia vipindi humkuti

Muda wote anasoma, anamuuliza mwalimu maswali ila matokeo yakija yeye ni wa mwisho.
Ubaya tulikua na mitihani kila wiki na kila wiki lazima achapwe.

Ilifika kipindi walimu wakawa hawamchapi tena sababu wanaona juhudi zake ila ndo hivyo kitabu kinamkataa.
Alikuwa haelewi ndio maana alikuwa anafeli. Soma kwa kuelewa
 
Usinikumbushe mkaka mmoja olevel alikua na bidii vibaya mnooo
Kwenye makosa ya kuchelewa kukusanya kazi humkuti, kukimbia vipindi humkuti

Muda wote anasoma, anamuuliza mwalimu maswali ila matokeo yakija yeye ni wa mwisho.
Ubaya tulikua na mitihani kila wiki na kila wiki lazima achapwe.

Ilifika kipindi walimu wakawa hawamchapi tena sababu wanaona juhudi zake ila ndo hivyo kitabu kinamkataa.
John Shule kitabu kikamkomea 😅😅
 
Habari!

Naomba kufahamu mbinu za usomaji mzuri ili mtu aweze kufaulu vizuri mitihani yake na kufanikiwa kupanda ngazi nyingine.

Nitawashukuru sana.
inategemea IQ level yako, (normal ratio range ni 90-109), below 90 ni strugglers
 
Inategemea level ya elimu, umri wako na uelewa wako(uwezo wa kufikiri)

Ninachojua mbinu hazifanani.
Ndilo jibu sahihi.
Kama wewe ni slow Lena au tabulalasa Piga msuli masaa 24/7
Dikasheni kwa sana. N.k

Ile ukiwa unaelewa chapu soma kawaida tu.

Pia kufaulu inategemea na aina ya mtihani, lengo la mtunga mtihani. N.k.

Kiufupi kufaulu ni malengo na malengo sio lazima yatimie na kutotimia kwa malengo haina maana hujafanya juhudi. In God we trust.
 
Ni juhudi ya mu tu binafsi nimesoma kozi wanazodai ni ngumu nanikafaulu na bangi na pombe nimetumia sana tu
Halafu watu wengi tu smart wanapuliza bhangi. Ila ukiwaona kwenye biashara na makampuni huwezi kuamini

Tatizo watu wengi wanachukulia bhangi ni kama ya watu flani arosto na wakati ukiwakuta watu concious sanaa wengi tu wanavuta
 
1.Tambua topics zote
Kikubwa ni kuzijua topics za somo husika, kama umebarikiwa kichwa chepesi unatakiwa kuelewa concepts muhimu kwa kila topic. Mfano ntakupa, topic ya "Matter." Utatakiwa kujua kwanza matter ni nini, types of matter na characteristics of each type. Process of formation na deformation ya hizo matter.

2. Fanya Reviews
Fanya review ya topics zote kwa ujumla. Kufanya reviews kunaihuisha memory kukumbuka yale ya muhimu na kama ni mzoefu wa mitihani unakuwa unajua kabisa kwamba kuna vitu vya ku mention lazma uvikariri. Kupitia mfano wa awali maana yake utapitia ile topic ya "Matter" upya for several times. Kwa mfano mimi huchukua thrice number of times kuhakikisha nimecapture kila kitu kwenye topic. Sikuwa mzuri wa kukariri ila i was able to grab concepts muhimu kiasi kwamba ukiniuliza sitakosa jibu la kukupa.

3. Andika summary
Baada ya review unatakiwa kuwa na uwezo wa kuandika summary ya ulichokisoma. Ukifikia hatua hii unaweza ku digest segments za topic mfano.
-Meaning
-States/Types
-Characteristics
-Change of states/Process of changes
-Applications

Kufikia hapo you are good to go. Hutapata shida na mitihani. Kupata 90+ itakuwa ni swala la kawaida sana na hata mtihani ukiwa mgumu chances of failure huwa ni marginal. Huwezi kosa above 50%
 
Level ya Chuo Kikuu
Chuo inategemea maana kama ni course zetu za miaka mitatu, msuli na ujanja ujanja vyote vinatoa watu fresh

Cha msingi tu hakikisha kwenye circle za stories kuhusu lecturers unakuwemo maana wengine huwa predictable au wanapenda vitu kwa namna flani. Kwa hiyo unaweza piga msuli na usipate unachokitaka

Cha msingi acha hofu, jijue na uishi tu mkuu.
 
Back
Top Bottom