Hivi huwa mnasomaje ili kufaulu Mitihani?

Iko ndo kitu tunakimisi waafrika wengi,uenda huyo jamaa alikuwa na mashinikizo nyuma yake,alikuwq anafanya ambacho hajakipenda toka moyoni,bali anafanya kwa kutii shinikizo toka mahala,hivyo alipaswa kuelekezwa kwa kuojiwa kujua kipi anapenda,lkn hiyo yafaa ijulikane tangu uko awali (kindergarten),hapo ndipo walioendelea utuzidi sana tu,mifumo yetu ya elimu yafaa kubadilika sana tu,kwenda huko.
 
Nikieleza namna ya kucheza na nyota hutaamini kwa kuwa umejikita sana kwenye hizi dini za kigeni. Utaniona kama taahira.
 
Habari!

Naomba kufahamu mbinu za usomaji mzuri ili mtu aweze kufaulu vizuri mitihani yake na kufanikiwa kupanda ngazi nyingine.

Nitawashukuru sana.
Mpaka umri huo bado unauliza swali kama hili?

Pumba tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…