Hivi, huwa ukiongea peke yako unaongea na nani?

Nashangaa sana sijui ni nini hili jambo, unawaza ghala linakuja live, hapo ndio naona kweli nguvu ya Mungu ni kubwa na kuna wakati unashindana na nafsi yako kabisa kuna sauti ina kusukuma kufanya jambo fulani unapuuza lazima uje upate hasara na kusema ningefanya ingekuwa faida sana, na hili ndio linatufanya tunaumia kwa kushindana na nafsi zetu.
 
kuna novel naisoma inaitwa LOST SYMBOLS ya DAN BROWN aloandika DA VINCI CODE nayo inanichanganya sana ina vitu vya ajabu sana,ukipata muda ifuatilie mkuu,hii dunia ni zaidi ya tuijuavyo,kuna vitu vingi vipo hidden hatuvijui tunaishi tu kama wadudu....tunatakiwa sana kujifunza out of kuwa busy muda wote kutafuta pesa..
 
Kuna hii kitu inatokea,unataka kufanya,kuwaza au kusema kitu fulani mara nyingi kibaya lakini unajikuta kama kunamjadala unaoendelea nifanye au nisifanye then baada ya muda unapata jibu kuwa uache,hiki ni nini na inakuwa unaongea na nani pale? ni wewe mwenyewe unafanya mashauri na nafsi yako au kuna nguvu nyingine unayo jadili nayo kutoka nje?
 
Ni kweli mkuu hii dunia ni zaidi ya tuijuavyo, mfano unaweza kuwa unatembea mwenyewe barabarani haswa sehemu za nje ya mji bila wasiwasi wowote na njia ni ambayo umesha izoea ila gafla unapata woga unaanza kukimbia au kuongeza mwendo huku una wasiwasi bila kutishwa na mtu wala kuona adu yoyote, au uanhisi umeitwa jina unahangaika kutafuta alie kuita wakati uko mwenyewe tena ugenini, hii ina shangaza sana.
 
The power within self that have two sides positive and negative...the outcomes depends on which power wins
 
Roho zinazotangatanga zinahusika sana hapa na sometimes mambo ya kishirikina
 
Roho zinazotangatanga zinahusika sana hapa na sometimes mambo ya kishirikina
Inakuwaje hili unaweza kuwa hata upo ndani ya nyumba peke yako gafla unashtuka unaogopa na kwenda kukaa nje kabisa, halafu baadae una sahau unaingia ndani na inakuwa shwari, unaendelea na shughuli kama kawaida.
 
Inakuwaje hili unaweza kuwa hata upo ndani ya nyumba peke yako gafla unashtuka unaogopa na kwenda kukaa nje kabisa, halafu baadae una sahau unaingia ndani na inakuwa shwari, unaendelea na shughuli kama kawaida.
Ni zile zile roho kuna post yake kuhusu hili...hapo zimekuja kukusabahi au zilikuwa zinapita, si unajua zile hazikwepi kitu?
 

Kwa imani yangu ni Holy Spirit anafanya kaz ndan yako na shetan anafanya kaz ndan yako

Usipo kaa na Mungu vzr shetan anaweza kukuangusha. Bt Mungu ni mwema anataka tushinde tujifunze kumwambia Mungu atakase dhamiri tulizo nazo ili tuwe na uhakika tunachokifanya.

Dhamir nayo ni utu wa ndani( nafs) dhamiri ikiwa mbaya hata huwez kuona kama unafanya kitu kibaya lakin dhamiri ikiwa safi utajua tu hich ni kibaya au kizur

Dhamir inasaidia sana kutuongoza lakin lazima uwe na dhamir safi.

Muombe Mungu asafishe dhamiri yako kila siku

Utajua kutofautisha mema na mabaya
 
kuna wakati hua najiuliza.... kama sauti inayoongea ndani ni yangu je? nani hua anaisikiliza.... atleast leo nimepata mwanga kidogo.
 
mshana jr miye nainjoi sana kuongea peke yangu. Yaani najenga ghorofa nabomoa, nahukum, basi shida tupu.
Ikizidi ni uchizi ujue lazalaza [emoji134] [emoji23] huwa nikitaka kutoa lock nakaa pekeyangu pahala kisha naanza kuwaangalia watu wanaokunywa bia za mawazo
Sometimes inatisha kwakuwa unaona kabisa midomo inacheza sura inakunjika mikono inakakamaa...unaona kabisa pale alipokaa upo mwili tu lakini ufahamu uko huko unafanya yake
 
Ah ah ah ah nacheka kama mazuri. Mungu atusaidie kwakwel
 
Hahahaa mimi umenikumbusha siku fulani nilikuwa nazunguka maeneo fulani mjini ghafla njiani nikapishana na mtu fulani timamu kabisa aliyekuwa akiongea peke yake akisema ""Haiwezekani yule jamaa lazima nimroge, kwa ile simu! Lazima nimroge"" ndo kusema alikuwa anafunzwa nini pale?
 

Hili lango inakuaje? Au nikama Mimi mke wangu akiwa mbali Kama anatatizo kuna Hisia napata nimpigie simu? Mara nyingine napata ndoto ya usingizini kama unanidai ninakwambia nitakulipa. Nimekua Na mama yangu anaumwa sana nikaambiwa nifanye kitu aweze kupoa. Nataka kujua kuhusu lango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…