Nashangaa sana sijui ni nini hili jambo, unawaza ghala linakuja live, hapo ndio naona kweli nguvu ya Mungu ni kubwa na kuna wakati unashindana na nafsi yako kabisa kuna sauti ina kusukuma kufanya jambo fulani unapuuza lazima uje upate hasara na kusema ningefanya ingekuwa faida sana, na hili ndio linatufanya tunaumia kwa kushindana na nafsi zetu.mie pia kuna kitu kimeshanitokea zaidi ya mara nne hivi,unakuta kwenye simu yako una namba za jamaa zako hamuwasiliani kwa muda mrefu sana,mwisho unaamua kuzifuta,ukifuta tu jamaa ndio wanaanza kukupigia ukiuliza nani mbona imekuja namba ngeni?anajitambulisha jamaa ulofuta namba yake jana tu au asubuhi hiyo,hii huwaga ni nini eti?naamini sio peke yangu hii incidence hunitokeaga..