Hivi, huwa ukiongea peke yako unaongea na nani?

Mimi nitakuwa wa kwanza nilichoandika kiko very precise na nimejirishisha nacho na kiko wazi na rahisi..kwa kiasi kikubwa ninachojaribu kufanya ni ule utumwa wa kutegemea mabandiko ya kizungu na ndio maana wengi huku ukiandika kitu utaombwa chanzo hata kama muda mwingine chanzo ni wewe mwenyewe
Tumesoma ili tuwe na fikra huru na si fikra za kutegemea na kuamini vya wengine

Mshana jr.
Unapotosha watu. Kama umefanya itakuwa unique!! Yaani wewe ukae uandike research? Well, umeshindwa kunielewa hata maana ya ecological validity.

Well, research ZOTE huwa zina huu utaratibu. Tuonyeshe wewe zako zilikuwaje?

1. Research method
2. Research design
-Sampling methods
3. Independent Variables
4. Dependent Variables
5. Your research hypothesis
6. Extraneous variables
7. Reliability na Validity (internal na external)
7. Outcome ndio hiyo explanation yako lkn hujaweka Statement nini hasa ulipata.

Mkuu tumwagie data zako ulizotumia.

Kuhusu wazungu unalalamika sikuelewi. Maana we can't do without them. Kuanzia dawa zetu za hospital, hadi equipment MRI, CT scan ni wazungu. System ya elimu, vitabu vyetu ktk elimu ya juu wazungu. Usipotoshe umma wachukie wazungu wakati viongozi wetu wana advocate kiswahili kitumike chuo kikuu wakati watoto wao hadi waziri wetu wa Mazingira amesomea kwa wazungu. Just be open minded.
 
kakolo nimegundua tunaishi dunia mbili tofauti..hivyo kuelewana hapa itakuwa shida lakini nikuulize tu kitu kimoja, kwa akili ya kawaida kabisa ukiachana na huo utaratibu wa kiko lini nilichoandika mimi umekielewa ama?
Kumbuka hapo ulipo sasa unaongea pekeyako unaongea na nafsi yako ambayo iko ndani ya mwili wako wenye roho/uhai....
Naomba u highlight hicho unachoita upotoshaji
 
Mimi nimeisoma hicho unachosema kuongea peke yako, nafsi kinaitwa cognitive- distorted thaughts au kikiwa exaggerated ndio unaingia kwenye schizophrenia (hallucinations) hearing voices. Na kuna theory zake.

Mkuu mbona una chukia sana wazungu? Mwl alisema hatuwachukii wazungu kwa sababu ya ngozi zao bali kwa ubaguzi wao.

Mi naamini tunaongea kitu kimoja ila nikasema uangalie studies. Anyway imekuwa vizuri kuchangia nimesrma ambacho nafikiri ni mchango ambao utawafanya watu watafiti zaidi wataalamu wataongezea. Asante sana kwa kuanzisha hii topic.
 
Hebu ngoja hii ishu ya wazungu tuitafutie muda wake....naona shida imetokea kwenye teminologies lakini pengine ni kitu kile kile
Huwa naepuka kutumia maneno ya kitaalam bali lugha rahisi inayoendana na mazingira yetu kwa ajili ya watu wa kaliba yetu kutokana na kutofautiana viwango vya elimu na ufahamu
 
Ndugu yangu mshana jr
Ni kwani kuna vitu tunavitamani kwenye ulimwengu wa roho ila hatuwezi kuvipata kwenye ulimwengu wa mwili..
Na baadhi hasa malengo tukiyatimiza bado roho inakataa inshort kwa nini ROHO HAIKINAI NA MAHITAJI YETU...
Hata biblia inakiri hivo...pale yesu alipowaambia wana wake..
"Laiti kama mngalijua yale yaletayo amani lakini yamejificha msiyaone"
Ina maana kaka kuna vitu hata tuvihitaji vip hatutavipata..kwenye ulimwengu wa mwilim.
Nieleweshe kaka..
Bado namaswali mengi yakuku uliza kama hutojali
Wakati unamsubiri Mshana, acha nikupe hii, roho ikishiba mwili unapata njaa na mwili ukishiba roho inapata njaa, ni vyema basi kuhakikisha mwili uwe umeshiba na roho iwe na njaa maana mwili ukiwa na njaa basi viungo vitataka kila kitu, macho yatataka kuona hata yaliyo machafu, miguu itataka kwenda hata sehemu zisizo na kheri lakini roho ikiwa na njaa itataka kijifunza yaliyo mema zaidi na zaidi na zaidii.
 
Mshana upo tuelimishane au umeenda kwenye shughuli za usafi leo Jumamosi?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] niko msata tangu jana usiku usafi nilifanyia kilingeni siku ukipata muda njoo ufanye ziara kuondoka Dar Ijumaa mchana au jioni
 
Hapa ni kwa vile binadamu ana utashi na mnyama ni hayawani
Tuna tabia tunapoudhiwa kuwaita wengine hayawani! Ni kwa vile tu hatujawaza vema lakini kumuita mtu hayawani ni kukosoa uumbaji kwakuwa hayawani ni mnyama
what does it take for someone to be a "platinum member" or a "verified user"?? I think u deserve more than that brother. KUDOS
 
I think platinum member is charged and verified user uses original name and avatar
 
Mara kibao tu ninapojipata asubuhi jumanne nimeamka bila shilingi mfukoni,huwa ninajiita mimi mwenyewe kwenye mkutano wa dharula.Mimi ndo mwenyekiti,mimi ndo 'secretary' na pia 'treasurer' hadi mwanakamati ni mimi.Kinachofata ni malumbano makali aisee,hadi napaza sauti kwa hasira!''Hivi si ijumaa nilikuwa na kshs 15,000?''('treasurer' huyo)''Sasa hivi sina kitu?''(mwanakamati msumbufu)''Huo si ni ujinga wa hali ya juu?''(Mwenyekiti mwenyewe!)''Unakumbuka wikendi iliyopita ilikuwa ni hivo hivo?''(ka'secretary').....Afu wote wanaanza kuongea kwa pamoja.Hahaha!Kujiongelesha si mchezo aisee,hadi suluhisho lipatikane ndo unajipata umerudi,kumbe ulikuwa umeiacha dunia hii!
 
Intuition conflicts within
 
Kweli jombaa.Afu nilimaanisha niamkapo jumatatu asubuhi,si jumanne!Sitaki wengi wasome nilichoandika hapo juu wadhani kuwa mimi ni klaza flani au mhuni anayefanya uhalifu wake jumatatu afu ndo anaamkia shughli za kujenga nchi jumanne.Haha!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mi mwenyewe nilishangaa ila nikaipotezea
 
Mshana jr.
Unapotosha watu. Kama umefanya itakuwa unique!! Yaani wewe ukae uandike research? Well, umeshindwa kunielewa hata maana ya ecological validity.

Well, research ZOTE huwa zina huu utaratibu. Tuonyeshe wewe zako zilikuwaje?

1. Research method
2. Research design
-Sampling methods
3. Independent Variables
4. Dependent Variables
5. Your research hypothesis
6. Extraneous variables
7. Reliability na Validity (internal na external)
7. Outcome ndio hiyo explanation yako lkn hujaweka Statement nini hasa ulipata.

Mkuu tumwagie data zako ulizotumia.

Kuhusu wazungu unalalamika sikuelewi. Maana we can't do without them. Kuanzia dawa zetu za hospital, hadi equipment MRI, CT scan ni wazungu. System ya elimu, vitabu vyetu ktk elimu ya juu wazungu. Usipotoshe umma wachukie wazungu wakati viongozi wetu wana advocate kiswahili kitumike chuo kikuu wakati watoto wao hadi waziri wetu wa Mazingira amesomea kwa wazungu. Just be open minded.
Bado una mawazo ya kitumwa sana ndugu yangu,alicho fanya Mr.Mshana ki sayansi inaitwa brain multiplexing,ambayo ni nadharia ya mtu anaifanya kwenye ubongo wake then anaileta katika uhalisia,tatizo linalo tukumba waafrika wengi ni kukremishwa vitu vya kijinga sana ambavyo havipo,Soma vizuri Article ya bwana Mshana ndio utaielewa nadhani wewe umekurupuka,au unafanya ka research ujinga flani ndiko maana ume question vitu ambavyo havipo kwenye mada.
 
mshana jr Mimi kuna kipindi nilikuwa naweza kuona kinachonitikea mbele,mfano kuna kipindi nipo shule(bweni) nilikuwa naona kabisa najikata na kitu damu inatoka,hata nikwepeje ilikuwa lazima nijikate,nfano mwingine niliweza kuona chuo nilichochaguliwa majengo,stationery na Mimi nikiwa natembea,hali hiyo ilikuwa inatokea nikiwa ninekaa tu peke yangu(sijasinzia),Kwa kifupi nilikuwa naweza kuishi future yangu,hii hali ni nini ,ila baadae ilitoweka yenyewe
 
Duu hii mpaka Mshana Jr aje au Divine
 
Back
Top Bottom