Waooo..... That's why I chosen only you among of millions.Oooh mwaa
una mama wa ajabu sana lol, kama ni uzungu amepitilizaKama nipo na mama hakuna shida..
Maana hata yy hua ananotafutia madem, Ila nikiwa na kubwa la maadui Dingi/Mzee/Gadafi/General Lazima nitoke ndukii
We jamaa umenichekesha sana. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama nipo na mama hakuna shida..
Maana hata yy hua ananotafutia madem, Ila nikiwa na kubwa la maadui Dingi/Mzee/Gadafi/General Lazima nitoke ndukii
[emoji23] [emoji23] stunter bana....ntamjibu asante..Leo inabidi tuseme tu ukweli,
Hivi huwa unajibu vipi endapo Ukiwa umekaa na familia yako unaongea na mpenzi wako kwenye simu, kisha kwenye maongezi akakwambia ''I love you''
Ni mume wangu halali na ndio mapenzi yetu yalivyo hata yeye nikimwambia nampenda mbele ya wazee wake anajibuOhooo... unadhani ni kwanini uamue kujiachia namna hiyo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiiiKama nipo na mama hakuna shida..
Maana hata yy hua ananotafutia madem, Ila nikiwa na kubwa la maadui Dingi/Mzee/Gadafi/General Lazima nitoke ndukii
Mama yangu bana Ananipenda na kunidekeza sana..una mama wa ajabu sana lol, kama ni uzungu amepitiliza
Kama baba yako ni mpole hongera sanaa
Akukufumania jeTulimtunga majina kibao ajili ya tabia zakee..
Jamaa alikua ananichunga huyoo ashawahi kunilaza nje kisa kuniona natembea na dem..
Yah namjibu......she is my bestfriend! Naongea nae mengi so hiyo haina shida kwakeInamaana hata jamaa ambaye ni boyfriend(hajakuoa) unaweza ukamjibu ivoivo mbele ya bi mdashi?
Alinichukia ila hakuniambia akawaambia rafiki zake ndio wakaniambia..
una uongo uliochanganyika na ukweli lolMama yangu bana Ananipenda na kunidekeza sana..
Akiiona msichana mzuri kanisani/sokoni/Mtaani basi ananipigia simu kua kuna binti kampenda nimfuate..
Alishawahi nitongozea rafiki mtoto wa rafiki yake baba mpaka hv namsubiri atoke chuo nijilie vyanguu
Nakuapia Kwa jina lake yeye ni ukweli kabisa,una uongo uliochanganyika na ukweli lol
Kwahiyo suala la privacy halipo kati yenu?Ni mume wangu halali na ndio mapenzi yetu yalivyo hata yeye nikimwambia nampenda mbele ya wazee wake anajibu
kwahiyo sio mbaya...