Simjui huyoo..muulize kama unataka kujua. Wanaume mtaelezana siri nahisi, yeye mwenyewe anajua so siwezi elezea hapa. huwezi vumbua chimbo la dhahabu halafu uje ulianike hadharan.
ahahahahahhaahah hakuna kutoa tricks hapa, kajifunza miaka 10 uje uzijue tu kirahis rahis hivi? haiwezekani mkuu samahaniSimjui huyoo..
Ndio. Maana nimekwambia njoo chemba usianike madini njee kuku watadonoa..
Kizuri Kula na ndugu Mungu hapendi ujueahahahahahhaahah hakuna kutoa tricks hapa, kajifunza miaka 10 uje uzijue tu kirahis rahis hivi? haiwezekani mkuu samahani
nimesoma signature yako though nikapata jibu lako, ni kuwa hatutumii kingaKizuri Kula na ndugu Mungu hapendi ujue
Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
Noooo Mm naogopa siwez Acha kutumianimesoma signature yako though nikapata jibu lako, ni kuwa hatutumii kinga
teh teh
I LOVE YOU TYUUUUUU..........Leo inabidi tuseme tu ukweli,
Hivi huwa unajibu vipi endapo Ukiwa umekaa na familia yako unaongea na mpenzi wako kwenye simu, kisha kwenye maongezi akakwambia ''I love you''
hahahahahha nimeipenda hiyooooNoooo Mm naogopa siwez Acha kutumia
Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
Mhuuu Kwa hiyo unaenda live band auhahahahahha nimeipenda hiyoooo
bora kuogopa kuliko utamu wenye madhara. mimi nina uhakika
teh teh
yes na mziki wake ni live piaMhuuu Kwa hiyo unaenda live band au
Sukupatii picha unavyo yakata aaashhyes na mziki wake ni live pia
hahahahahah sasa ni nini tena lakini? tuko kazina bhana lolSukupatii picha unavyo yakata aaashh
Kazini wapi tenahahahahahah sasa ni nini tena lakini? tuko kazina bhana lol
hv unahis sifanyi kazi? hata kuosha kucha ni kazi mkuu acha mazarau basi?Kazini wapi tena
Mm nataja kujua ni ipi isiwe ni ileehv unahis sifanyi kazi? hata kuosha kucha ni kazi mkuu acha mazarau basi?
ile ya Overtime Mondray ama?Mm nataja kujua ni ipi isiwe ni ilee
Kawaida tuuu namwamini mpaka nakufaUlijiskiaje alipokujibu ivo? Ulimuamini kweli?
Mkuu nimesema ivi kusema i love u kwa mumeo sio neno kwa upande wangu mie,ingekua nimeongeza zaidi ya hapo ingekua mbaya lakini ni halali yangu mume wangu na wote wanajua sioni tabu kumwambia nampenda popote nilipo..Yapo maneno ya chumbani kuongea na mpenzi wako, sasa kwenye kadamnasi ya watu unataka kuwahubiria ili wajue kwamba unampenda? What for?
Upo wap mm nipo hapa naogeleaile ya Overtime Mondray ama?
teh teh
mie sifanyi hiyo bhana