Hivi huwa unajibuje akikwambia ''I love you'' mbele ya wazazi wako?

Hivi huwa unajibuje akikwambia ''I love you'' mbele ya wazazi wako?

muulize kama unataka kujua. Wanaume mtaelezana siri nahisi, yeye mwenyewe anajua so siwezi elezea hapa. huwezi vumbua chimbo la dhahabu halafu uje ulianike hadharan.
Simjui huyoo..
Ndio. Maana nimekwambia njoo chemba usianike madini njee kuku watadonoa..
 
Simjui huyoo..
Ndio. Maana nimekwambia njoo chemba usianike madini njee kuku watadonoa..
ahahahahahhaahah hakuna kutoa tricks hapa, kajifunza miaka 10 uje uzijue tu kirahis rahis hivi? haiwezekani mkuu samahani
 
Mie namwambiaga "haya bwana" au sawasawa tutawasiliana tu haina noma ...
 
ahahahahahhaahah hakuna kutoa tricks hapa, kajifunza miaka 10 uje uzijue tu kirahis rahis hivi? haiwezekani mkuu samahani
Kizuri Kula na ndugu Mungu hapendi ujue

Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
 
Kizuri Kula na ndugu Mungu hapendi ujue

Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
nimesoma signature yako though nikapata jibu lako, ni kuwa hatutumii kinga

teh teh
 
nimesoma signature yako though nikapata jibu lako, ni kuwa hatutumii kinga

teh teh
Noooo Mm naogopa siwez Acha kutumia

Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
 
Leo inabidi tuseme tu ukweli,
Hivi huwa unajibu vipi endapo Ukiwa umekaa na familia yako unaongea na mpenzi wako kwenye simu, kisha kwenye maongezi akakwambia ''I love you''
I LOVE YOU TYUUUUUU..........
 
Noooo Mm naogopa siwez Acha kutumia

Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
hahahahahha nimeipenda hiyoooo

bora kuogopa kuliko utamu wenye madhara. mimi nina uhakika
teh teh
 
Yapo maneno ya chumbani kuongea na mpenzi wako, sasa kwenye kadamnasi ya watu unataka kuwahubiria ili wajue kwamba unampenda? What for?
Mkuu nimesema ivi kusema i love u kwa mumeo sio neno kwa upande wangu mie,ingekua nimeongeza zaidi ya hapo ingekua mbaya lakini ni halali yangu mume wangu na wote wanajua sioni tabu kumwambia nampenda popote nilipo..
 
ile ya Overtime Mondray ama?

teh teh

mie sifanyi hiyo bhana
Upo wap mm nipo hapa naogelea
cfba7b7c11655965c604e9a291325d3d.jpg
 
Back
Top Bottom