Hivi huwa unajihisi vipi ukilala katika kitanda chenye kunguni?

Hivi huwa unajihisi vipi ukilala katika kitanda chenye kunguni?

Nilienda sehemu moja nilikaa wiki 2 kama miaka 20 vile kila nikiweka ubavu hapana nakaa wenyeji wanakoroma
niliporudi nyumba nikijialia mwili umejaa vipele na mikovu kama bondia wadudu hatari wale
hukuchukua mazalia kweli...?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yoote hyo pole sana...Dawa ya kunguni hawarudi tenaa.. Mafuta ya taa,sabuni ya unga yoyote na chumvi changanya vile mwaga ndani au eneo husika...chumvi haiyayuki halafu paka ule mchanganyiko hawarudi hata kwa bombardier
C kweli
 
hata mimi nampinga, hakuna dawa ya kienyeji nisiyowahi kuitumia kwa miaka ile mitatu.

hiyo dawa anayosema siyo kama hawafi ila utakuwa heaven for two days baada ya hapo mambo ni mbele kwa mbele.

hata maji ya moto yanadunda kwa hawa viumbe.
 
Kidugala Seminary...Mkeha, Njombe ndani ndani huko 2000-2003.Hawa wadudu walikua sehemu ya maisha yetu. Mkiwa mmetoka likizo ndio mnawakuta wana njaa na hasira kama yote vurumai lake ni noma....
 
Yoote hyo pole sana...Dawa ya kunguni hawarudi tenaa.. Mafuta ya taa,sabuni ya unga yoyote na chumvi changanya vile mwaga ndani au eneo husika...chumvi haiyayuki halafu paka ule mchanganyiko hawarudi hata kwa bombardier
Duuh, mwili unasisimka na je husababishwa na nini hasa, naskia ni uchafu ? Na hizo damu hivi hawezi kuambukiza magonjwa (HIV) huyu mdudu? Maana ni Nyingi ?, wenye uelewa hapa
 
hata mimi nampinga, hakuna dawa ya kienyeji nisiyowahi kuitumia kwa miaka ile mitatu.

hiyo dawa anayosema siyo kama hawafi ila utakuwa heaven for two days baada ya hapo mambo ni mbele kwa mbele.

hata maji ya moto yanadunda kwa hawa viumbe.
hawa viumbe wana roho ngumu sijapata kuona kwa kweli....!!
 
yaan me nimedum nao toka mwaka 2015 hadi 2018, ilifikia hatua nikazoe hiyo hali ya kung'atwa ng'atwa ila kuna rafki yangu alinitembelea maghetto ndipo ndipo akanishauri ninunue dawa, kww kweli kwa ile haibu nikajitoa tu kununua kubishi ndipo ikawa tiba!
Kwa hiyo ulikua unafurahia wanavyokung'ata?
 
Back
Top Bottom