Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hukuchukua mazalia kweli...?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nilienda sehemu moja nilikaa wiki 2 kama miaka 20 vile kila nikiweka ubavu hapana nakaa wenyeji wanakoroma
niliporudi nyumba nikijialia mwili umejaa vipele na mikovu kama bondia wadudu hatari wale
hawana desturi ya kufa miaka100, huwa wanasinyaa mfano wa kasha tupu kisha ukisharudi tu wanaanzia hapo hapo kurudisha mashambulizi...[emoji3][emoji3][emoji3]Wana uwezo wa kukaa miezi sita bila kufa na kwa nguvu ile ile ukilala unao
C kweli
hata mimi nampinga, hakuna dawa ya kienyeji nisiyowahi kuitumia kwa miaka ile mitatu.C kweli
hahaha kitendo cha kuamka kuwasha taa saa ngapi wasitafute njia ukija kuangalia unakuta kitanda cheupeeeMdudu mpenda giza [emoji626]
Duuh, mwili unasisimka na je husababishwa na nini hasa, naskia ni uchafu ? Na hizo damu hivi hawezi kuambukiza magonjwa (HIV) huyu mdudu? Maana ni Nyingi ?, wenye uelewa hapaYoote hyo pole sana...Dawa ya kunguni hawarudi tenaa.. Mafuta ya taa,sabuni ya unga yoyote na chumvi changanya vile mwaga ndani au eneo husika...chumvi haiyayuki halafu paka ule mchanganyiko hawarudi hata kwa bombardier
Aisee, [emoji30]Mzee ni hatari! Harafu akiwa anafyoza damu lazima usikie tu.
🤣🤣🤣🤣🤣hawana desturi ya kufa miaka100, huwa wanasinyaa mfano wa kasha tupu kisha ukisharudi tu wanaanzia hapo hapo kurudisha mashambulizi...[emoji3][emoji3][emoji3]
Hawaambukizi(HIV) sio lazima uchafu unaweza kukaa na mtu karibu akakupatia kamoja shughuli inaanzia hapoDuuh, mwili unasisimka na je husababishwa na nini hasa, naskia ni uchafu ? Na hizo damu hivi hawezi kuambukiza magonjwa (HIV) huyu mdudu? Maana ni Nyingi ?, wenye uelewa hapa
hawa viumbe wana roho ngumu sijapata kuona kwa kweli....!!hata mimi nampinga, hakuna dawa ya kienyeji nisiyowahi kuitumia kwa miaka ile mitatu.
hiyo dawa anayosema siyo kama hawafi ila utakuwa heaven for two days baada ya hapo mambo ni mbele kwa mbele.
hata maji ya moto yanadunda kwa hawa viumbe.
Kwa hiyo ulikua unafurahia wanavyokung'ata?yaan me nimedum nao toka mwaka 2015 hadi 2018, ilifikia hatua nikazoe hiyo hali ya kung'atwa ng'atwa ila kuna rafki yangu alinitembelea maghetto ndipo ndipo akanishauri ninunue dawa, kww kweli kwa ile haibu nikajitoa tu kununua kubishi ndipo ikawa tiba!