Hivi huwa unajihisi vipi ukilala katika kitanda chenye kunguni?

Afu wananukaga hao hahaha for the first time nilikutana nao boding school mbeya nilikua siwajui ni Nini walinitesa saaaana
 
wananuka cjui harufu gani, yaan harufu ya kipekee pekeee![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Duuh, mwili unasisimka na je husababishwa na nini hasa, naskia ni uchafu ? Na hizo damu hivi hawezi kuambukiza magonjwa (HIV) huyu mdudu? Maana ni Nyingi ?, wenye uelewa hapa
Ni sawa na kuuliza kama Mbu anaambukiza HIV, lol
wadudu wanafyonza damu kutoka kwako hawakupi wao damu yao hapo labda wewe ndio uwaambukize.
 
Sema mkuu hao wadudu hawalimi hawana njia nyingine ya kutafuta chakula tuishi nao tu kibishi
 
wananuka cjui harufu gani, yaan harufu ya kipekee pekeee![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3] [emoji3] pia ni wanataga mayai kwa kasi Sana ebu ngoja nisiendelee kuchangia topic Mana mwili unasisimka nahis Kama bado wapo kwenye boxer yangu
 
Kuna dawa zamani ilikuwa inaitwa Diazinon,hii dawa ni sumu kali sana ila ilikuwa inaua na kuwamaliza Kunguni kwa asilimia 100,sijui kama siku hizi bado ipo...
 
yaan nakumbuka nilikiwa nafanya juu chini nisilare ndani ili wafwe njaaa kumbe ndio kwanza wanatunza maumivu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]siku ya kulala nachezeshwa show kama ile ya TP mazembe kwa simba..
The life span of a bedbug most commonly ranges from four to six months. Some bedbugs may live for years and can go months without feeding.
 
yaan nakumbuka nilikiwa nafanya juu chini nisilare ndani ili wafwe njaaa kumbe ndio kwanza wanatunza maumivu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]siku ya kulala nachezeshwa show kama ile ya TP mazembe kwa simba..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hawa wadudu bhna huwa hawafi njaa hata wakae miez 2 au 3 ukirudi show yake unakuta mpaka walisha zaa hulale usiku
 
Duuh, mwili unasisimka na je husababishwa na nini hasa, naskia ni uchafu ? Na hizo damu hivi hawezi kuambukiza magonjwa (HIV) huyu mdudu? Maana ni Nyingi ?, wenye uelewa hapa
Niliwahi skia wanaambukiza ukimwi ktk kiwango kidogo sanaa...sio uchafu kunguni ni wadadu tu Mimi mwenyewe nilizani ni uchafu lakini niliwakuta sehemu jamani mpk nilishangaa nyumba nzuri balaa....

Mara nyingine lakini mrundikano wa vitu, haswaa maeneno ya uswazi ndo wamejaa kibao!!!
 
Kuna dawa zamani ilikuwa inaitwa Diazinon,hii dawa ni sumu kali sana ila ilikuwa inaua na kuwamaliza Kunguni kwa asilimia 100,sijui kama siku hizi bado ipo...
labda ipo, wahanga watujuze!
 
Niliwahi skia wanaambukiza ukimwi ktk kiwango kidogo sanaa...sio uchafu kunguni ni wadadu tu Mimi mwenyewe nilizani ni uchafu lakini niliwakuta sehemu jamani mpk nilishangaa nyumba nzuri balaa....

Mara nyingine lakini mrundikano wa vitu, haswaa maeneno ya uswazi ndo wamejaa kibao!!!
Usiombe wakwingie ndani mwako!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hawa wadudu bhna huwa hawafi njaa hata wakae miez 2 au 3 ukirudi show yake unakuta mpaka walisha zaa hulale usiku
[emoji22][emoji22][emoji21][emoji21]
 
Back
Top Bottom