Hivi huwa unajihisi vipi ukilala katika kitanda chenye kunguni?

Nakumbuka wakati nipo secondary bwenini kwa wavulana kulikuwa na balaa la chawa huku wasichana ni kunguni....sijawah ku experience hawa viumbe wengine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila sekeseke la chawa nalijua vilivyo...hebu waliokumbwa na adhma zote mbili watupe uzoefu...Maana chawa yuko na wewe 24/7 asubiri ulale yeye anagawa dozi muda wote...kauli mbiu yake ni Kama ya #Chadema "ULIPO TUPO"...KUNGUNI VS CHAWA...Nani zaidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😀😀😀😀😀
 
Nakumbuka mwaka Juzi alikuja kijana mmoja toka mkoa akafikia kwangu, kiukweli kunguni sikuwa nawajua ,basi nilikaa na kijana siku mbili then aliondoka kwenda alipotakiwa kufika. Basi baada ya wiki moja hv nimelala usiku nikahisi mdudu ananitembea mguuni nikastuka ,nikaona anakimbia ,nikapuuzia nikajua kamdudu ka mungu katakuwa kamejisahau tu kamekatiza kakanipandia mguuni, basi mwezi ukakata, siku moja juma mosi nafanya usafi nikatoa kava la godoro ili nibadilishe bwana eeeh kwenye angle ya kitanda nakuta vidudu vingiii af vinaona aibu vinajificha ,nikamwita mshkaji wangu nkamuuliza hawa ndio wadudu wanaokula mbao za kitanda?? Akaniambia wewe boya hawa kunguni dah nilijisikia vibaya sana nikamwqmbia sasa wameingiaje na humu hamna uchafu, akasema hata mtu akija kwako kambeba mmoja atazaliana mara elfu asee. Nilirudisha godoro nikaenda job ,sasa usiku nimelala nasikia kitu kinatembea tumboni kuwasha taa wale wajomba asee sinkamuuwa, hiyo harufu nilisikia kutapika. Niliomdoka nkawa sikai ili nikae hata mwenzi nje na nyumbani ilia wakufe ,duh kurudi hamna kitu wapo mpka wametengeneza na base kwenye kona za vitanda, siku moja nikasiki jamaa anapita dawa ya mende, viroboto ,kunguni na wadudu watambaaao, nikamwita jamaa akanipa dawa ya maji akaniambia weka na maji lita kumi na pia tafuta spray .nikatoa kila kitu ndani nikabakiza kitanda tu chumba kizima sasa wamejificha kila kona ya chochoro ya kitanda yani nilipuliza ile dawa mpka kukajaaa maji chumbani yani ukiwaangalia hapo chini kama sisismizi walivyo kufa, basi nkapuliza na godoro siku hyo hyo nilinunua kitanda kipya na godoro. Nikasema sasa hv akija mgeni naenda mlaza gest nimeteseka sana na hao wadudu, maana mpka ikawa ukikaa kwenye daladala na begi lako kama uliliweka kitandani wanadandi ,ukikaa kwenye daladala na mrembo umekumbatia begi yeye ndio anatoka unamwona anakatiza mpka unasikia aibu, au kwenye shati dah watu wanakuona umependeza ila una kunguni .wanakera sana hao wadudu.
 
KTC kwa mwiga hatare m nliwajulia chuo bhn tulikua tunalala nje aiseee ila baada ya hapo ckuwah kuwaona tena mpk nmewaona leo hapa jf mmenikumbusha mbal xana ila ilifika kipind yan unawazoea tu unalala nao mpk axubuh ila kabla yabkuingia class unahakikisha umepiga pas kila utakachokivaa yan had beg maana wanajua kujificha hao unaeza fungua daftr clas af unakukutana na huyo mkataumeme yan hatar tupu
Aiseee[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nakumbuka wakati nipo secondary bwenini kwa wavulana kulikuwa na balaa la chawa huku wasichana ni kunguni....sijawah ku experience hawa viumbe wengine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila sekeseke la chawa nalijua vilivyo...hebu waliokumbwa na adhma zote mbili watupe uzoefu...Maana chawa yuko na wewe 24/7 asubiri ulale yeye anagawa dozi muda wote...kauli mbiu yake ni Kama ya #Chadema "ULIPO TUPO"...KUNGUNI VS CHAWA...Nani zaidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kunguni ni balaaa kulko chawa kwa 100%, maana kufa kwa kunguni ni kugumu kuliko kwa chawa maana chawa anakufa/kuisha mara moja tu ukiwa msafi na kwa maji ya motto! Ila kunguni[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Mgeni akija home utamfukuza
Kheri lawama kuliko hasara itakayo wagharimi muda na pesa, Mnamuweka banda moja na kuku! maana kuku ndo huishi kwa kung'atwa na viroboto![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yaani kunguni wamenitesa sana miezi mitatu iliyopita , ukiona vipele.ndo unaumia mno
 
Nakumbuka mwaka Juzi alikuja kijana mmoja toka mkoa akafikia kwangu, kiukweli kunguni sikuwa nawajua ,basi nilikaa na kijana siku mbili then aliondoka kwenda alipotakiwa kufika. Basi baada ya wiki moja hv nimelala usiku nikahisi mdudu ananitembea mguuni nikastuka ,nikaona anakimbia ,nikapuuzia nikajua kamdudu ka mungu katakuwa kamejisahau tu kamekatiza kakanipandia mguuni, basi mwezi ukakata, siku moja juma mosi nafanya usafi nikatoa kava la godoro ili nibadilishe bwana eeeh kwenye angle ya kitanda nakuta vidudu vingiii af vinaona aibu vinajificha ,nikamwita mshkaji wangu nkamuuliza hawa ndio wadudu wanaokula mbao za kitanda?? Akaniambia wewe boya hawa kunguni dah nilijisikia vibaya sana nikamwqmbia sasa wameingiaje na humu hamna uchafu, akasema hata mtu akija kwako kambeba mmoja atazaliana mara elfu asee. Nilirudisha godoro nikaenda job ,sasa usiku nimelala nasikia kitu kinatembea tumboni kuwasha taa wale wajomba asee sinkamuuwa, hiyo harufu nilisikia kutapika. Niliomdoka nkawa sikai ili nikae hata mwenzi nje na nyumbani ilia wakufe ,duh kurudi hamna kitu wapo mpka wametengeneza na base kwenye kona za vitanda, siku moja nikasiki jamaa anapita dawa ya mende, viroboto ,kunguni na wadudu watambaaao, nikamwita jamaa akanipa dawa ya maji akaniambia weka na maji lita kumi na pia tafuta spray .nikatoa kila kitu ndani nikabakiza kitanda tu chumba kizima sasa wamejificha kila kona ya chochoro ya kitanda yani nilipuliza ile dawa mpka kukajaaa maji chumbani yani ukiwaangalia hapo chini kama sisismizi walivyo kufa, basi nkapuliza na godoro siku hyo hyo nilinunua kitanda kipya na godoro. Nikasema sasa hv akija mgeni naenda mlaza gest nimeteseka sana na hao wadudu, maana mpka ikawa ukikaa kwenye daladala na begi lako kama uliliweka kitandani wanadandi ,ukikaa kwenye daladala na mrembo umekumbatia begi yeye ndio anatoka unamwona anakatiza mpka unasikia aibu, au kwenye shati dah watu wanakuona umependeza ila una kunguni .wanakera sana hao wadudu.
Pole sana[emoji22]
 
Ukitaka kuwapata panda Gari linaitwa SIMIYU EXPRESS linaenda mkoa wa SIMIYU utakoma nao hao vampire
 
Hawa wadudu Hawa... Walinitesa Sana A level.. Anakudunga sindano Af anatulia kimyaaaa ukigeuka anakimbiaaaa... Wakat wa njaa anakuwa mwembamba kama karatasi Ila siku akipata chakula ananyonya had anavimbiwa huwez kutembea...
 
Hawana shida kabisa ni rafiki hao ndo maana kule magereza jela askari wameweka marufuku mfungwa kuua kunguni au kiroboto na ole wako ukamatwe ukiwaua
usiongee kitu pasipo evidence nimekaa mahabusu karibu siku5, kunguni na chawa wanauliwa sana tu sema kuna maeneo ambayo haruhusiwi mtu kuulia chawa, ambayo yanaitwa mesi (mahala pa kulia chakula).
 
Bora kunguni sio chawa,chawa wana kupa kiminyo kaa umelalia miba vile uwezi ukalala kwanza utakimbia kitanda,ila kunguni wananyonya damu kimyakimya.
 
Ni pamoja na hayo
usiongee kitu pasipo evidence nimekaa mahabusu karibu siku5, kunguni na chawa wanauliwa sana tu sema kuna maeneo ambayo haruhusiwi mtu kuulia chawa, ambayo yanaitwa mesi (mahala pa kulia chakula).
 
Wee umekaa mahabusu kumbe mi nimesema jela kabisa ukishahukumiwa

Back
Top Bottom