Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Nimelisoma humu mkuu.Waulize wana yangaa mkuu
P DiddyHeshima kwenu wakuu.
Katika wiki 2 hizi nimeona watu wakiandika sana hili jina la Ali Msomali hivi ni nani huyu jamaa ?
Ni Mtanzania au ni Msomali kama jina lake lilivyo ? Nikasema niwaulize wakuu mnijuze tafadhali.
Shukran kwenu wakuu.
P Diddy anaitwa Ali mkuu ?P Diddy
Kwa nini kiongozi ?Noma sana!
Si unajua wazee sisi tunapitwa na Misemo ya vijana hivyo kuuliza sio vibaya mkuu.Sio kila kitu ujue, acha umbea mkuu ππππ
Kwani mtu akikwambia Tell us about yourself unamjibuje kiongozi ? Utakavyomjibu ndivyo mtu atakavyojua kuhusu wewe mkuu.Uzi wako hauleweki,, ungeandika kafanya nini cha ajabu huyo mpaka kuandikwa sana nadhani ingekuwa vizuri
Sasa si u-google unatumia smart phone mkuuSi unajua wazee sisi tunapitwa na Misemo ya vijana hivyo kuuliza sio vibaya mkuu.
Kama unamfahamu sio mbaya ukanijuza huyu Ali Msomali haswa ni nani kwani mkuu ?
Mkuu mimi nimeuliza swali, nisiulizweKwani walifanya kitu gani mkuu. ?
Ndio hao nimewauliza coz wapo humu mkuu.Kama umeona watu wakiandika kuhusu huyo mtu umeshindwa nin kuwauliza hao wanaomuandika?
Sometimes nakubali kuwa watanzania tuna low iQ
Mi nimeskia skia tu nikasema niwaulize wadau.Kwa hilo jina kama sio gaidi bc hana marinda, kwa ufupi tuu lazima kuwe na upuuzi ndani yake.
Ali Msomali. Hili jina limekaa kiutata sana mkuu. πMkuu mimi nimeuliza swali, nisiulizwe
Ali Msomali. Hili jina limekaa kiutata sana mkuu. π o