Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
- Thread starter
- #21
Jina lake halisi anaitwa Ali au ? Yaani nataka kufahamu kwa nini aitwe Ali Msomali mkuu ?P didy huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina lake halisi anaitwa Ali au ? Yaani nataka kufahamu kwa nini aitwe Ali Msomali mkuu ?P didy huyo
Zilongwa mbali, zitendwa mbali maneno ya mzaramo,,, huyo Ali msomali na tell us about yourself wapi na wapi,, au mie ndo bichwa langu box sio griti thinka?? Mana sijaielewa hapa,,, huyu Ali msomali ndo nani na kafanya nini huko Dar? Mana huku kwetu chikobilenkoba labda kuna mambo yamenipitaKwani mtu akikwambia Tell us about yourself unamjibuje kiongozi ? Utakavyomjibu ndivyo mtu atakavyojua kuhusu wewe mkuu.
Jina lake ni sean combs hilo la Ali msomali amepewa na wana JF kwa umafia anaoufanya hapo marekani, anatafuna sana viboga vya wanaume wenzake bila huruma.Jina lake halisi anaitwa Ali au ? Yaani nataka kufahamu kwa nini aitwe Ali Msomali mkuu ?
Diddy ni konyo alitaka kumuingiza mkenge hadi 50cent😁
Hahah usiniache niteseke mkuu.(AU) Acha Uteseke
Naonana na mtu nisiyemjua mkuu. ? 😅Ungependa kuonana nae?
Diddy ni konyo alitaka kumuingiza mkenge hadi 50cent😁
Nasubiri jibu kutoka kwa mdau.Sasa mkuu ikiwa cent hamsini katoka chupu chupu, Vipi huyu kijana wetu alipona?
Mrembo habariUzi wako hauleweki,, ungeandika kafanya nini cha ajabu huyo mpaka kuandikwa sana nadhani ingekuwa vizuri
Huyu Ali ni mtu maarufu hapa nchini au anajulikana kama nani mkuu...?Kuna jamaa anaitwa Ally anafanana na P.didy.wabongo wakaunga nyaya ikawa hivyo ilivyo.
Utamjua ukionana nae, kwasasa mjue tu kama Ali msomaliNaonana na mtu nisiyemjua mkuu. ? 😅
Kijana wetu tayari ni marindaless😄Sasa mkuu ikiwa cent hamsini katoka chupu chupu, Vipi huyu kijana wetu alipona?