Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
- Thread starter
- #41
Kwa hilo hapana nashkuru sana mkuu. 😅Utamjua ukionana nae, kwasasa mjue tu kama Ali msomali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hilo hapana nashkuru sana mkuu. 😅Utamjua ukionana nae, kwasasa mjue tu kama Ali msomali
Inaonekana kama vile umeguswa na mada husika hapo juu. Itakuwa inakuhusu nini aisee ? 😅Ungejiuliza je ni ugonjwa gani unaua sana kuku ungweza kupata maarifa kuliko kutaka kumjua mtu asie na faida kwako.
Sasa umeskia nini wewe boya? Si uulize huko ulikosikia?Mi nimeskia skia tu nikasema niwaulize wadau.
Mbona kupanic ghafla ndugu Ali Msomali ameshakupa hisa nini mkuu...? 😅Sasa umeskia nini wewe boya? Si uulize huko ulikosikia?
Mbona Hersi sio hivyo nae ana asili ya somali land?Mmatuwaza sana ,mtu yoyote mwenye asili ya somali land ana kariba ya simba 😁😁.
Kuto ogopa chochote na kupambana hata kwa kuhatarisha maisha.😁😁😁 hersi ni nan kwanMbona Hersi sio hivyo nae ana asili ya somali land?
Alipigwa mjegejo
Nmerudia tena kureply hii, tayari diddy hafai.
Na wewe ni Msomali mkuu...?Mmatuwaza sana ,mtu yoyote mwenye asili ya somali land ana kariba ya simba 😁😁.