Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
- Thread starter
-
- #41
Kwa hilo hapana nashkuru sana mkuu. πUtamjua ukionana nae, kwasasa mjue tu kama Ali msomali
Inaonekana kama vile umeguswa na mada husika hapo juu. Itakuwa inakuhusu nini aisee ? πUngejiuliza je ni ugonjwa gani unaua sana kuku ungweza kupata maarifa kuliko kutaka kumjua mtu asie na faida kwako.
Sasa umeskia nini wewe boya? Si uulize huko ulikosikia?Mi nimeskia skia tu nikasema niwaulize wadau.
Mbona kupanic ghafla ndugu Ali Msomali ameshakupa hisa nini mkuu...? πSasa umeskia nini wewe boya? Si uulize huko ulikosikia?
Mbona Hersi sio hivyo nae ana asili ya somali land?Mmatuwaza sana ,mtu yoyote mwenye asili ya somali land ana kariba ya simba ππ.
Kuto ogopa chochote na kupambana hata kwa kuhatarisha maisha.πππ hersi ni nan kwanMbona Hersi sio hivyo nae ana asili ya somali land?
Alipigwa mjegejo
Nmerudia tena kureply hii, tayari diddy hafai.
Na wewe ni Msomali mkuu...?Mmatuwaza sana ,mtu yoyote mwenye asili ya somali land ana kariba ya simba ππ.