Kilewo ni mchemfuTuache itikadi zetu Joyce ana makosa yake kutafuta solutions kupitia mitandaoni vile vile huyo Kilewo ktk projects zake especially maintaining Bank accounts na signatories ktk hizo accounts kwanini hakumshirikisha mkewe wakati mkewe alimshirikisha Kilewo
Yep nimemsomana nimemuelewa sana,Insta sio sehem sahihi kuelezea matatizo yako na mumeo au mkeo,ingefikia hiyo hatua baada ya kukaa vikao vingi na ndugu jamaa na marafiki then ikashindikana .Binafsi siamin kama huko kote wamepita na hakuna suluhu iliyopatikana.Pia hata kama suluhu isingepatikana Joyce angeamua tu kuachana na mumewe kimya kimya sio kutangaza Insta inaleta damage zaidi kuliko kujengaHivi umesoma alichoandika ukamuelewa??
endeleeni na superwoman wenuKwa hiyo aendelee kuvumilia tu kipigo, kulala na njaa, madeni ya wafanyakazi..wakati ana biashara zake ila mtu kazikalia tu
Alikuwa anakula hela za wanaume wengine sasa ni muda na wa kwake achunwe vizuri.Asilalamike1. Anataka awe mwanaume wa familia.
2. Anataka awe anashililia miradi yote ya familia.
2. Brain washing kwamba bado anampenda mumewe.
mimi nitaongea baada ya kusikia pande zote mbiliWewe unaonaje?
Ni hatarii sana, familia imeishiwa hafu mwenzio anachukua pesa kwa siri anaenda kula dyudyu na milupo....ha haha inaumiza mnooo.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kamanda yuko imara kuliko wakati wowote ule.
Komaaa Kamanda Kamanda lazima awe mvumilivu kulea familia pesa za mwanaume wanachangia kutafuta ukombozi wa vimada
HII NI NINI? HALAFU UNATOA USHAURI UTAELEWEKA?fikilia
Subiri basi. Usinipangie nini cha kuongea.mimi nitaongea baada ya kusikia pande zote mbili
Wewe dada naona una tatizo la uelewa au unajitowa akili tu.Makubwa....
Kwa hiyo hapa jobu ni moja
Alivyoolewa alijua Kilewo ni mario...akakubali kubeba majukumu...
Uluona wapi mke anazaa kwa uchungu na kula kwa jasho
Hukumuacha apambane yeye kama yeye ahudumie familia
Matokeo jamaa akazoea slope
Te a inawezekana anakwambia biashara mbovu kumbe kuna mwenzio anahongwa
Na wewe kilowo hebu be a mana please
Nenda na mkeo benki jitoe kwenye akaunti zake
Ulispngeshe
Dume zima kung'ang'ania akaunti za mkeo inahusu?
Na mahaba niue yalikuponza joyce
Ulivyosikia mwiki mmoja ukadhani ni 'akaunti' moja eeeeh
Hayo unayopitia ni ya kawaida sana kwa wanawake wanaolea wanaume
Pambana na hali yako
Ni biashara zipi alizozikalia naomba unielimishe hapa nashindwa kuelewa.Kwa hiyo aendelee kuvumilia tu kipigo, kulala na njaa, madeni ya wafanyakazi..wakati ana biashara zake ila mtu kazikalia tu
sawaSubiri basi. Usinipangie nini cha kuongea.
Respect.sawa
unahisi kwa nn J anasisitiza anampenda?Sifurahii haya ya Joyce na Kileo ila kama kweli Kileo ndiyo alivyo kifamilia Mimi ningeondoka mapema mno na wala Watoto nisingezaa naye. Wanaume kupe wa Mlima Kitonga ni shida mno. Ni kuwakimbia kama ukoma.
Wewe ndio unajichanganya, hata wewe ukitaka kesho unafunguwa kampuni, Brela wanataka fee yao tu.Kwa wenyekuelewa maana kamili ya neno 'kampuni' na ili iitwe kampuni inatakiwa iwe level gani? Mfano kampuni ya huyo joyce ni kama kampuni ya azam tunavyioelewa ?au ni kama kampuni ya METL? Isiwe tunachanganya enterprise na kampuni