Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

inasikitisha zaidi kuona wale wapambe wa Kiria waliokua wanamrusha na kushare drama zake facebook wameanza kuacha baada ya kugundua haiswihi

This is a very serious problem... Kiria needs some serious help

This lady needs protection kwakweli...
 
Tuache itikadi zetu Joyce ana makosa yake kutafuta solutions kupitia mitandaoni vile vile huyo Kilewo ktk projects zake especially maintaining Bank accounts na signatories ktk hizo accounts kwanini hakumshirikisha mkewe wakati mkewe alimshirikisha Kilewo
Kilewo ni mchemfu

amwachie ex-wife freedom
 
Hivi umesoma alichoandika ukamuelewa??
Yep nimemsomana nimemuelewa sana,Insta sio sehem sahihi kuelezea matatizo yako na mumeo au mkeo,ingefikia hiyo hatua baada ya kukaa vikao vingi na ndugu jamaa na marafiki then ikashindikana .Binafsi siamin kama huko kote wamepita na hakuna suluhu iliyopatikana.Pia hata kama suluhu isingepatikana Joyce angeamua tu kuachana na mumewe kimya kimya sio kutangaza Insta inaleta damage zaidi kuliko kujenga
 
1. Anataka awe mwanaume wa familia.
2. Anataka awe anashililia miradi yote ya familia.
2. Brain washing kwamba bado anampenda mumewe.
Alikuwa anakula hela za wanaume wengine sasa ni muda na wa kwake achunwe vizuri.Asilalamike
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kamanda yuko imara kuliko wakati wowote ule.
Komaaa Kamanda Kamanda lazima awe mvumilivu kulea familia pesa za mwanaume wanachangia kutafuta ukombozi wa vimada
Ni hatarii sana, familia imeishiwa hafu mwenzio anachukua pesa kwa siri anaenda kula dyudyu na milupo....ha haha inaumiza mnooo.

Yaani mtu hajali hata watoto wake....nyie wanaume mna roho ya kikatili sana.
 
Mambo ya ndani yanamalizwa ndani. Kicheni pati ilimpita mbali nini au ilikuwa kupata vyombo tu na kusasambua?
 
Makubwa....


Kwa hiyo hapa jobu ni moja


Alivyoolewa alijua Kilewo ni mario...akakubali kubeba majukumu...


Uluona wapi mke anazaa kwa uchungu na kula kwa jasho

Hukumuacha apambane yeye kama yeye ahudumie familia


Matokeo jamaa akazoea slope

Te a inawezekana anakwambia biashara mbovu kumbe kuna mwenzio anahongwa


Na wewe kilowo hebu be a mana please

Nenda na mkeo benki jitoe kwenye akaunti zake

Ulispngeshe

Dume zima kung'ang'ania akaunti za mkeo inahusu?

Na mahaba niue yalikuponza joyce

Ulivyosikia mwiki mmoja ukadhani ni 'akaunti' moja eeeeh


Hayo unayopitia ni ya kawaida sana kwa wanawake wanaolea wanaume

Pambana na hali yako
Wewe dada naona una tatizo la uelewa au unajitowa akili tu.

Unaelewa maana ya joint account? Hakuna mwenye share zaidi ya mwenzake, kama mnaona hili ni jambo rahisi kwa sababu mwanaume ameamuwa kukaa kimya basi mshaurini Joyce afuate mafundisho ya biblia ya samehe saba mara sabini, na mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie na la kulia, na mtu akikunyang'anya kanzu basi mpe na joho kabisa, sasa mshaurini Joyce ajitowe kwenye hiyo account amuachie Kileo maana mnaropoka ujinga tu mtadhani mna uhakika wa mnachoaminishwa.

Mkumbuke yule mama aliyelia mbele ya Magufuli anadhurumiwa mirathi ameshindwa kesi mahakamani.
 
Kwa hiyo aendelee kuvumilia tu kipigo, kulala na njaa, madeni ya wafanyakazi..wakati ana biashara zake ila mtu kazikalia tu
Ni biashara zipi alizozikalia naomba unielimishe hapa nashindwa kuelewa.
 
Vuta subira Dada joy,2020 mbona kamanda waziri wa hela![emoji3]utashindwa wewe tu,wekeza mamaa.
 
Kwa wenyekuelewa maana kamili ya neno 'kampuni' na ili iitwe kampuni inatakiwa iwe level gani? Mfano kampuni ya huyo joyce ni kama kampuni ya azam tunavyioelewa ?au ni kama kampuni ya METL? Isiwe tunachanganya enterprise na kampuni
 
Sifurahii haya ya Joyce na Kileo ila kama kweli Kileo ndiyo alivyo kifamilia Mimi ningeondoka mapema mno na wala Watoto nisingezaa naye. Wanaume kupe wa Mlima Kitonga ni shida mno. Ni kuwakimbia kama ukoma.
unahisi kwa nn J anasisitiza anampenda?
vp J anashindwa kumuacha kileo wakat analalamika hana pesa?

jiongeze wewe wanaume tuna vifua vya kuhifazi tofauti na nyie!!

kwanza kileo kafanya uamuzi mzur sana j si alsema K ni mzigo alipi kodi wala kulisha familia....
sasa K kaondoka /kampunguzia mzigo lakini kilasiku j kelele haziishi

by the way usi judge kwa kuskiza upande1 pia usimskilize wala kumfata J kwa usalama wa ndoa yako dada.
 
Kwa wenyekuelewa maana kamili ya neno 'kampuni' na ili iitwe kampuni inatakiwa iwe level gani? Mfano kampuni ya huyo joyce ni kama kampuni ya azam tunavyioelewa ?au ni kama kampuni ya METL? Isiwe tunachanganya enterprise na kampuni
Wewe ndio unajichanganya, hata wewe ukitaka kesho unafunguwa kampuni, Brela wanataka fee yao tu.

Mimi hapa ninamiliki kampuni mbili benki hata millioni sina.

Unaposikia kampuni usiogope na hata ukisikia viwanda pia usishtuke hata cherehani 4 ni kiwanda pia.

Stuka ukisikia heavy duty industry.

Hata kina Wema Sepetu pia wana kampuni, kampuni unaweza kuwa na ofisi kwenye briefcase au nyumbani.
 
Back
Top Bottom