Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

Watu wengi wanacomment in one side ya kuona Mwanamke kakosea ila yapaswa kujua chanzo cha ugomvi mpaka Mwanamke kufikia uku..katika ndoa kila MTU ana wajibu wake kwa mwenzake jambo lolote linapotokea
Inawezekana kabisa Kilewo amefanya mabaya yote anayoyasema Joyce, na pengine mengi zaidi yasiosemwa.

Basi ndio Joyce aje ayaanike Insta? Kweli?
 
Dj Nelly aliona mbali ndo maana akapiga chini hili garasa haya mpare ameuvaa mkenge le kamandaz apambane tu na hali yake!ila wanaume wengi wa kipare ni mabahili mno sijui nani aliyewafundisha hii tabia sugu..lakini huyu superwoman asingemwanika mumewe hivi tujiandae kwa gazeti la tatu atakapomuanika kama alikua na kilemutuz au hizi ndoa zina mamboz!!!
 
watoto huyo kilewo amewatelekeza bila chakula
Na wewe unayakubali hayo kweli?

Yaani Joyce, na nafasi yake, umaarufu wake, hawezi hata kukopa kibaba cha mchele cha kuwalisha watoto wake?

Anataka kumhadaa nani hapa?
 
Hakuna cha siri za ndani km mwanaume umefanyiwa yote na bado pasua kichwa muache uyo dada afanye mambo yake ambayo yatampa furaha
 
Inawezekana kabisa Kilewo amefanya mabaya yote anayoyasema Joyce, na pengine mengi zaidi yasiosemwa.

Basi ndio Joyce aje ayaanike Insta? Kweli?

Biblia Inasema ivi Nyumba na mali hurithiwa kutoka kwa akina baba, Lakini mke mwenye busara hutoka kwa Yehova.

Nataka uniambie neno wakati wa masihi mwanamke aliyesemakana amezini wakampeleka mbele za watu ili apigwe mawe afe mpaka Yesu kusema asiye na dhambi na awe wa kwanza kumpiga mawe. Je ilikuwa ni Busara kufanya jambo ilo mbele za watu au si Busara au busara ilikuwa watu kumalizana ndani wenyewe? Kama ilikuwa si busara kwa nini waliletwa mbele za watu.

Sitopenda kumlaumu mwanamke ila naweza kuwalaumu watu wote walio karibu nao kuwa wako wapi. Kumbuka ata wewe ukikosa msaada kwa watu wa karibu nafsi yako aitulii mpaka upate muafaka wa jambo ambalo unalitafutia muafaka
 
huyu mke au balaa wakuu....[emoji24] [emoji24] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Na wewe unayakubali hayo kweli?

Yaani Joyce, na nafasi yake, umaarufu wake, hawezi hata kukopa kibaba cha mchele cha kuwalisha watoto wake?

Anataka kumhadaa nani hapa?
Hapo ndio utaamini IQ za Watanzania ziko chini sana ndio maana ccm inawapiga fix inavyotaka.

Kuna familia single mother na mama hana uwezo lakini maisha yanaendelea ndio sembuse huyu anayejiita Super Woman? Sasa huo Usuper woman wake ni kwenye nini? Au kukata viuno?
 
Binafsi namshukuru Joyce kwa kutoa somo kwa mabinti / wanawake wote wanaofikiria kuolewa au walio olewa. MWANAUME HANA UNDUGU. Wanawake wanaowafichia waume zao aibu ya kutokuwa watafutaji, kwa kuwatunza na kuwafichia siri, siku zote hii ndo shukurani zao. Ukipika ugali acha ale bure, alale bure, akanye na kuflash kwa maji unayolipia wewe, lakini kamwe usimpe idhini ya kusign ili upate pesa unayoitolea jasho wewe. Ununue kiwanja kwa jasho lako alafu unamuandika jina lake kisa mapenzi? Na mwanamume yeyote anayekubali kuishi kwa jasho la mkewe si mwanamme😵. Tupilia kuleee. Nimeshangaa kuona mwanamke kama Joyce ambaye nilifikiri anajitambua kufanya makosa kama hayo.

Na uone kwa ujinga wetu, kuna vidume humu vinamsema Joyce. Angekuwa dada yangu huyu Joyce, angekula viboko kwa kuwa mjinga kiasi hicho. Kwa kukubali kutumika kijinga hivyo. We unakubalije kulitunza libaba lizima hivyo?!😕
 
Mwanamke nyoko sana huyu aisee...kama tukiwa tunaanikana mitandaoni hivyo si zitakuwa vurugu
AU ndo sote tutajifunza kuwatendea wenzetu jinsi tunavyotaka watutendee. Maana miaka yote tumefichiana siri lakini kumbe bado kuna wanaume wanatunzwa mjini hapa na bado wanapiga wake zao!
 
Biblia Inasema ivi Nyumba na mali hurithiwa kutoka kwa akina baba, Lakini mke mwenye busara hutoka kwa Yehova.

Nataka uniambie neno wakati wa masihi mwanamke aliyesemakana amezini wakampeleka mbele za watu ili apigwe mawe afe mpaka Yesu kusema asiye na dhambi na awe wa kwanza kumpiga mawe. Je ilikuwa ni Busara kufanya jambo ilo mbele za watu au si Busara au busara ilikuwa watu kumalizana ndani wenyewe? Kama ilikuwa si busara kwa nini waliletwa mbele za watu.

Sitopenda kumlaumu mwanamke ila naweza kuwalaumu watu wote walio karibu nao kuwa wako wapi. Kumbuka ata wewe ukikosa msaada kwa watu wa karibu nafsi yako aitulii mpaka upate muafaka wa jambo ambalo unalitafutia muafaka
Kama unataka release ya frustration zako au catharsis, basi zungumza na shosti wako au wachache wa karibu nawe. Leo hii hata mimi nisiemjua Joyce na Kilewo nimeingizwa hadi uvungu wa chumbani mwao. This is not right.

Yule mwanamke alipelekwa kwa Yesu na sio kwenye market square ya Jerusalem.

Vitabu vitakatifu havijasema ukikosewa basi piga vinubi na zumari ili ulimwengu wote ujue. Vinasema ukikosewa basi samehe mara sabini (sijui kama ni nukuu sahihi). Msamaha hauanzi kwa kuilalamikia dunia yote.
 
Huyu kamanda ampe chake huyu Sista afanye maisha yake, unang'ang'ania mali za nn za mke wako na ukijua fika watoto wanapata chakula huko, huyu sista yupo sahihi bora aseme huyu mwehu akijisikia vibaya arudishe mali za mwenzake..huyu kamanda mbona boya hivi
 
Kamanda kafanya yake. Benki akaunti zote amedhibiti Le Superwoman Analia lia....ulimuonyesha kila kitu....pambana na hali yako.

Tunaendelea kujifunza kutoka kwa LeSuperwoman.....Aahh You Know
 
Back
Top Bottom