Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

Eti "sitaki mambo ya komaa kamanda"

Duh kweli mwenyezi humpa amtakae tatizo ni vijisent vya biashara ambayo hata haijafikisha mtaji wa million mia,
Je? Mngepata ubunge ingekuwajee!!!!
Chagaaaaaaz on the line of money
 
Sisi wahaya huwa tukifikisha umri wa kuoa wazazi hasa mama zetu huwa wanatukalisha chini na kutuhasa kamwe tusioe mwanamke mchagga au mmachame uwa wanatwambia mabaya na madhaifu yao mengi kwenye ndoa ikiwemo hayo yanatokea kwenye familia ya kileo ndo maana ni Nadra sana kumuona muhaya achana na hawa wahaya wasiopajua bukoba,huwezi kukuta kamuoa mtu wa makabila haya....those people are too selfish..!!
Hee makubwa hawawakatazi na kuoa malaya i mean wahayazo
 
Hapo wamekutana aisee

Mke tatizo mume shida
HV unakimbiaje hujui watoto wako watakula nn??

Man went mnatuaibisha aisee,sasa Huyo kakutana shida mwenzie bila haya kaanika kila kitu public
 
Huyu mwanamama anashida kubwa maelezo yoooote ni kutaka kusema anapesa na alikua analisha familia.

Cha ajabu analialia tena kama kweli no brwad winner mbona siku chache hivyo kayumba?

Hivi ni kweli ana account moja tu?

Hivi kuna kusema huku hadharani ndio pesa zitatoka bank. Kuna shoda ya kisaikolojia zaidi inamsumbua na kubwa anataka aonekane yeye ndiye kaacha sio kuachwa
 
Hivi siku instagram ikifungwa mtabandika hizo shida zenu kwenye billboard?? @
 
Hivi ni kweli Joyce ndiye aliyeandika na kupost? Mh, iwapo ni kweli, basi, nimeamini siyo wote wasemao Bwana, Bwana....! Unajua mtu lazima uyaishi maneno yako. Hata hivyo msisahau Joyce na Kilewo, si mumeamua kuachana? Basi, hakuna yeyote kati yenu anayeruhusiwa kuoa au kuolewa tena na mtu mwingine. Ukikiuka, unazini na Jehanamu inakusubiri. Nawashauri wanangu wazuri, RUDIANENI. kamwe msimpatie ibilisi nafasi. Kutofautiana kupo ktk maisha ya ndoa cha muhimu ni UPENDO ndiyo muarobaini. Mbona Joyce unawafundishaga wenzio hivyo. Imekuwaje?!
 
Kumbe na mimi ni mwanamke mwerevu aisee, kapigwa Mara moja kahororoja hivyo kwenye kadamnasi

Tunasemwa sisi ni wadhaifu lkn wanaume ni wadhaifu zaidi na kumtunzia madhaifu yake ni mwanzo wa kujenga familia imara sasa huyu super woman ni msengerema na anatia kichefuchefu katuaibisha ke wengi tulioolewa mashauzi mpk kwa mume!!!!!! Maajabu

50 kwa 50 imetuharibia ndoa za kizazi kipya wadogo zako wanaokutizama kila siku na mahousegirl wako wajifunze nini kwenye familia zao huko??? Je tutakuwa na jamii ya watu wa aina gani??? Mwanaume hata awe na nukta na fukara lkn km hana tobo katikati ya miguu tukumbuke yeye anamuwakilisha mwenyezi Mungu kwasababu hata kuumbwa kwakw ilikuwa, na tumtengeneze mtu kwa mfano wetu, tizama mitume, wateule na manabii wote ni wanaume na mbaya kuliko umezaa madume km mimi, Mungu atakuaibisha na kukuonyesha kuwa pesa sio kila kitu ktk maisha kufikia hatua ya kumdhalilisha mumeo namna Hii

Umewaaibisha wanawake wenzio wa uchagani kumbe mnayosemwa nayo mnayo kweli
 
anajitahidi kubwabwaja ili apate huruma ya wananchi
 
Mimi kama nimemuelewa tofauti Joyce anisamehe. Lakini akili yangu inanituma kuamini kuwa baada ya Joyce kuanika sakata hili kwenye media na shutuma alizopata toka kwa wachangiaji, sasa ameamua kuja na episode 2 ili watu wajue chanzo cha ugomvi wao ni ubahili/ubinafsi Wa mumewe na hii anadhani itamsaidia ku atract public sympathy. Lakini ukisoma vizuri maelezo yake unamwonea huruma kwa sababu between lines ameficha tabia yake na anachotaka kiuhalisia toka kwa mumewe. Lakini pia angalau ameeleza chanzo cha kupigwa kwake kuwa ni yeye kwenda "kujirusha" peke yake kama anavyofanya mumewe ili ngoma iwe droo, na anataka jamii ione kuwa kipigo toka kwa mumewe hakikuwa sahihi kwa vile alimkuta sehemu anayoifahamu na hakuwa akifanya zinaa kama yalivyokuwa mawazo ya mumewe. Tatizo la pili la Joyce ni kutofanywa Second signatory kwenye akaunti za mumewe wakati yeye amemfanya signatory kwenye akaunti zake. Katika hili Hoja ya Joy ni ya msingi lakini siyo nzito. Anakiri wakati hili linafanyika hakuona tatizo kwa sababu alikuwa na mapenzi thabiti kwa mumewe. Kwa maana nyingine kinachomfanya ahoji sasa hivi ni kupungua kwa hayo mapenzi thabiti ya awali. Sasa ni kipi kimeyapunguza hayo mapenzi? Ni pale Kilewo alipoacha kumjali na kumthamini, yaani kutoka out peke yake bila mkewe.
Je, haya ni ya kuanika hadharani hata kama kweli yapo? Jibu rahisi ni no, tena big NO! Kinachofanya ayaanike haya kwa sasa ni dhamira yake anayosema alimwambia mumewe tangu mwanzoni mwa mwaka huu, hajataja ni lini, kuwa "MWAKA HUU 2018 NI MWAKA WA KUACHANA".
Huwezi kudumu katika mahusiano kama akili yako umeshaiset kuachana. Ukilala unaota kuachana, ukiamka unawaza kuachana. Siku zote mawazo yanaumba dhamira na mwisho wa siku "UTEKELEZAJI". Joyce unatekekeza ulichokiwaza siku nyingi na sababu ulizotoa ni catalyst. Yaani ulitegesha kama wimbo mmoja Wa Mrisho Mpoto anaposema; "UKINIKANYAGA TU.....!"
Lakini Joy hujachelewa, la kwanza nakusihi acha kutumia njia hii ya kishamba kumdhalilisha mwanaume unayemuita baba Wa watoto wako, na sehemu nyingine umemuita "KILEWO WANGU". Tafuta wenye busara wakusaidie ama KUACHIKA kwa amani au KUREJESHA ndoa yako katika line.
Wasalaam;
Bila bin Bila!!
Ajue kuwa watoto watakua na siku moja watasoma mama yao aliyokuwa akimsema baba yao. Shame to you. Watu wakiachika inakiuwa between the two au labda watu wa karibu siyo tangazo kwa dunia. JF inasomwa dunia nzima siyo bongo tu.
 
Kumbe na mimi ni mwanamke mwerevu aisee, kapigwa Mara moja kahororoja hivyo kwenye kadamnasi

Tunasemwa sisi ni wadhaifu lkn wanaume ni wadhaifu zaidi na kumtunzia madhaifu yake ni mwanzo wa kujenga familia imara sasa huyu super woman ni msengerema na anatia kichefuchefu katuaibisha ke wengi tulioolewa mashauzi mpk kwa mume!!!!!! Maajabu

50 kwa 50 imetuharibia ndoa za kizazi kipya wadogo zako wanaokutizama kila siku na mahousegirl wako wajifunze nini kwenye familia zao huko??? Je tutakuwa na jamii ya watu wa aina gani??? Mwanaume hata awe na nukta na fukara lkn km hana tobo katikati ya miguu tukumbuke yeye anamuwakilisha mwenyezi Mungu kwasababu hata kuumbwa kwakw ilikuwa, na tumtengeneze mtu kwa mfano wetu, tizama mitume, wateule na manabii wote ni wanaume na mbaya kuliko umezaa madume km mimi, Mungu atakuaibisha na kukuonyesha kuwa pesa sio kila kitu ktk maisha kufikia hatua ya kumdhalilisha mumeo namna Hii

Umewaaibisha wanawake wenzio wa uchagani kumbe mnayosemwa nayo mnayo kweli
mwaaaaaa,,,, limenitoka tu maana ulivyotiririka
 
Back
Top Bottom