BakaFila
Senior Member
- Jan 18, 2018
- 192
- 369
Komaa Kamanda.Joyce Kiria kaza buti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Komaa Kamanda.Joyce Kiria kaza buti
Unaniogopesha sana maana nina mnyamwezi na yuko powa tu. Mwaka wa 3 sasaMbona huyu mwanamke siyo mchaga??Huyu ni mpare!Katika wanawake pasua kichwa hapa Tanzania siyo wachaga ni Wanyamwezi,ukioa mnyamwezi lazima uvae miwani ya wazee ukiwa kijana.
Mbona huyu mwanamke siyo mchaga??Huyu ni mpare!Katika wanawake pasua kichwa hapa Tanzania siyo wachaga ni Wanyamwezi,ukioa mnyamwezi lazima uvae miwani ya wazee ukiwa kijana.
Hee makubwa hawawakatazi na kuoa malaya i mean wahayazoSisi wahaya huwa tukifikisha umri wa kuoa wazazi hasa mama zetu huwa wanatukalisha chini na kutuhasa kamwe tusioe mwanamke mchagga au mmachame uwa wanatwambia mabaya na madhaifu yao mengi kwenye ndoa ikiwemo hayo yanatokea kwenye familia ya kileo ndo maana ni Nadra sana kumuona muhaya achana na hawa wahaya wasiopajua bukoba,huwezi kukuta kamuoa mtu wa makabila haya....those people are too selfish..!!
Ajue kuwa watoto watakua na siku moja watasoma mama yao aliyokuwa akimsema baba yao. Shame to you. Watu wakiachika inakiuwa between the two au labda watu wa karibu siyo tangazo kwa dunia. JF inasomwa dunia nzima siyo bongo tu.Mimi kama nimemuelewa tofauti Joyce anisamehe. Lakini akili yangu inanituma kuamini kuwa baada ya Joyce kuanika sakata hili kwenye media na shutuma alizopata toka kwa wachangiaji, sasa ameamua kuja na episode 2 ili watu wajue chanzo cha ugomvi wao ni ubahili/ubinafsi Wa mumewe na hii anadhani itamsaidia ku atract public sympathy. Lakini ukisoma vizuri maelezo yake unamwonea huruma kwa sababu between lines ameficha tabia yake na anachotaka kiuhalisia toka kwa mumewe. Lakini pia angalau ameeleza chanzo cha kupigwa kwake kuwa ni yeye kwenda "kujirusha" peke yake kama anavyofanya mumewe ili ngoma iwe droo, na anataka jamii ione kuwa kipigo toka kwa mumewe hakikuwa sahihi kwa vile alimkuta sehemu anayoifahamu na hakuwa akifanya zinaa kama yalivyokuwa mawazo ya mumewe. Tatizo la pili la Joyce ni kutofanywa Second signatory kwenye akaunti za mumewe wakati yeye amemfanya signatory kwenye akaunti zake. Katika hili Hoja ya Joy ni ya msingi lakini siyo nzito. Anakiri wakati hili linafanyika hakuona tatizo kwa sababu alikuwa na mapenzi thabiti kwa mumewe. Kwa maana nyingine kinachomfanya ahoji sasa hivi ni kupungua kwa hayo mapenzi thabiti ya awali. Sasa ni kipi kimeyapunguza hayo mapenzi? Ni pale Kilewo alipoacha kumjali na kumthamini, yaani kutoka out peke yake bila mkewe.
Je, haya ni ya kuanika hadharani hata kama kweli yapo? Jibu rahisi ni no, tena big NO! Kinachofanya ayaanike haya kwa sasa ni dhamira yake anayosema alimwambia mumewe tangu mwanzoni mwa mwaka huu, hajataja ni lini, kuwa "MWAKA HUU 2018 NI MWAKA WA KUACHANA".
Huwezi kudumu katika mahusiano kama akili yako umeshaiset kuachana. Ukilala unaota kuachana, ukiamka unawaza kuachana. Siku zote mawazo yanaumba dhamira na mwisho wa siku "UTEKELEZAJI". Joyce unatekekeza ulichokiwaza siku nyingi na sababu ulizotoa ni catalyst. Yaani ulitegesha kama wimbo mmoja Wa Mrisho Mpoto anaposema; "UKINIKANYAGA TU.....!"
Lakini Joy hujachelewa, la kwanza nakusihi acha kutumia njia hii ya kishamba kumdhalilisha mwanaume unayemuita baba Wa watoto wako, na sehemu nyingine umemuita "KILEWO WANGU". Tafuta wenye busara wakusaidie ama KUACHIKA kwa amani au KUREJESHA ndoa yako katika line.
Wasalaam;
Bila bin Bila!!
mwaaaaaa,,,, limenitoka tu maana ulivyotiririkaKumbe na mimi ni mwanamke mwerevu aisee, kapigwa Mara moja kahororoja hivyo kwenye kadamnasi
Tunasemwa sisi ni wadhaifu lkn wanaume ni wadhaifu zaidi na kumtunzia madhaifu yake ni mwanzo wa kujenga familia imara sasa huyu super woman ni msengerema na anatia kichefuchefu katuaibisha ke wengi tulioolewa mashauzi mpk kwa mume!!!!!! Maajabu
50 kwa 50 imetuharibia ndoa za kizazi kipya wadogo zako wanaokutizama kila siku na mahousegirl wako wajifunze nini kwenye familia zao huko??? Je tutakuwa na jamii ya watu wa aina gani??? Mwanaume hata awe na nukta na fukara lkn km hana tobo katikati ya miguu tukumbuke yeye anamuwakilisha mwenyezi Mungu kwasababu hata kuumbwa kwakw ilikuwa, na tumtengeneze mtu kwa mfano wetu, tizama mitume, wateule na manabii wote ni wanaume na mbaya kuliko umezaa madume km mimi, Mungu atakuaibisha na kukuonyesha kuwa pesa sio kila kitu ktk maisha kufikia hatua ya kumdhalilisha mumeo namna Hii
Umewaaibisha wanawake wenzio wa uchagani kumbe mnayosemwa nayo mnayo kweli
[emoji120] [emoji120]mwaaaaaa,,,, limenitoka tu maana ulivyotiririka
Ni watu sana. Kila kabila lina wajinga. Kabila moja hawawezi kuwa na akili sawa.Wachaga nao watu basi