moe junior
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 904
- 937
[emoji1] [emoji1] [emoji1] we ni noma aiseKwa hiyo wanaachana lini?
uwe unasoma vizuri meaning.......joyce hawez kutoa hela bank mpaka kilewo asain mbuzi mawe weweKwanini mnapenda kusingizia watoto?
Kwani hizo biashara haziingizi tena ela? Au ni biashara ya forex?
Hlf huyu mama si ndio yule kipolo wa DJ NellyDuh kukosea kuoa ni tatizo jingine
Kabisa...na anavyoanika mshkaji ndio anasema ngoja tuone sasa.Mhh!mbombo ngafu!Ila Joyce hizo ni siri za ndani na familia yako kwa ujumla hukupaswa kupost huko Insta.Suala kama hili ulipaswa mlimalize kifamilia,je hamna wazazi?ndugu jamaa na marafiki? Unachokifanya ni kujianika kwenye public ambayo kimsingi haina msaada kwenu zaidi ya kukucheka na kukuhurumia kinafiki.
Mumeo hata kama amekosea hukupaswa kuja kulalamika insta,kila mtu akileta matatizo yake insta ndoa nyingi zisingekuwepo.Kama unaona imefika mwisho ni bora uachane naye ,ingekuja tu stori Joyce kaachana na Kileo basi but kwa unachokifanya unajidhalilisha wewe mwenyewe na mumeo!
But pole kwa yote magumu unayopitia tafuta njia sahihi za kumaliza tatizo lenu na sio Instagram.
Ila kumbuka ...amekuwa mwanamke tu ndio ana-rap since....hatujamsikia Kilewo...so...kupata mtu ambae mna lengo moja nayo changamoto mkuu.kuna watu wabinafsi sana . hv mtu unakuwaje mchoyo hadi kwa damu yako eti.japo tunamuona joyce mbaya ila na huyu kamanda sio kabisa aaah
Marioo huwa wananyamazaga hivi hizi ndo tabia zao kuuIla kumbuka ...amekuwa mwanamke tu ndio ana-rap since....hatujamsikia Kilewo...so...
Iyo ndo sifa kubwa ya mwanaume kuvumilia mambo magumu yenye kukarahisha yaan apa jamaa nazid kumpa asilimia.Jamaa kauzu balaa na mapigo yote ya upande wa pili hajajibu chochote tu?
Mhh!mbombo ngafu!Ila Joyce hizo ni siri za ndani na familia yako kwa ujumla hukupaswa kupost huko Insta.Suala kama hili ulipaswa mlimalize kifamilia,je hamna wazazi?ndugu jamaa na marafiki? Unachokifanya ni kujianika kwenye public ambayo kimsingi haina msaada kwenu zaidi ya kukucheka na kukuhurumia kinafiki.
Mumeo hata kama amekosea hukupaswa kuja kulalamika insta,kila mtu akileta matatizo yake insta ndoa nyingi zisingekuwepo.Kama unaona imefika mwisho ni bora uachane naye ,ingekuja tu stori Joyce kaachana na Kileo basi but kwa unachokifanya unajidhalilisha wewe mwenyewe na mumeo!
But pole kwa yote magumu unayopitia tafuta njia sahihi za kumaliza tatizo lenu na sio Instagram.
Huyu mwanamke ni hatari kabisaa.Yaani hapa anavyojiongelesha na kuvutia kwake ili tupate huruma.