Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

Mambo mengine achia huko insta mkuu.
 
ndo maana cc wakurya hua hatuna mda wa kubishana na wanawake ni kichapo tu
 
M ni mwanamke ila huyu Dada hata kama.mumewe ana makosa kiasi gani huwez ukasahau wema wake kwako.

Hivi umesahau kuwa huyu ndiye aliyekuwa heshima ya kuwa mke wa mtu baada ya kutalikiwa? Na akakufanya kuwa mama?

Kitendocja kukuzalisha tuu kinatosha kabisa kukufanya uufunge mdomo wako kisha utafute hekima ya kuongea na mumeo kuhusu maswala ya kuhudumia familia.

Btw karma is a bitch.......
 
Pale unapoamua kujiabisha kwa kuweka nje mambo ya ndani ya familia. Pamoja na yote bado Joyce hukutakiwa kumuanika mumeo hivyo.
By the way inaonekana Joyce unapenda kuwa juu ya mwenzio, yani wewe ndo CDF wa familia, so hakuna mwanaume anapenda upuuzi huo wa kuongozwa na mwanamke thats why ameamua kufanya hayo. Jaribu kutofautisha kuongoza kipindi na kuongoza Familia yako.
 
Mmmmh.....huyu kilewo nomaaa.
 
Anajichioresha bure. Hana ndugu kwani?
Huyu mwanamke anakosea kuyaanika haya. Je vipi huyu anaeng'ang'ania mali za familia wakati watoto wanahitaji kuishi?
Kuna wanaume wanaachana na wake zao wanaacha magorofa for the sake of the kids.
 
Nawe ukaamini maneno ya Joyce 😀
 
Hapana, hayo tumeyasikia upande wa kwake, upande mwingine hatujayasikia, lakini hata kama ni kweli kosa kubwa alilofanya ni kuleta mambo ya familia kwenye mitandao ya kijamii. Hata kama ni mimi hapo hakuna ndoa.
Na inavoonekana mapenzi hakuna tena na kama anampenda kama anavyojipambanua asingethubutu kumvua nguo mmewe katika mitandao ya kijamii, maana huku ni kuvuana nguo, mwanamke hafai huyo.
 
Ila kweli umeongea jambo la busara, nimekuelewa kabisa, mi nilikuwa namuona anabusara kumbe hopeless sana huyu ana ubongo wa njuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…