Ni kweli unachosema. Lakini kumuanika mitandaoni ni sahihi? Kwanini usisepe kimya kimya, sidhani kama unalazimishwa kuendelea nae.SIKIENI TU KWA WATU, MWANAUME MBINAFSI ANACHOSHA SANAAAAANA, YAANI UANAKUWA KAMA UPO NYUMBANI PEKE YAKO,
Kabla hamjaingia ndani mnavutia sanani shiiida babu . nakuombea upate mtu mwenye hekima pale mjengoni
Dada zangu wa Kimarangu huwawezi kuvumilia lazima waongee na hawana aibu, japo pia huyu Kiria naye ana matatizo yake makubwaKwa hiyo anachosema dada etu ni kuwa kamanda kaamua kukomaa na mali za familia. Mbaya zaidi anakomoa tu ili huyu dada ateseke bila kujali watoto?
Ni kweli unachosema. Lakini kumuanika mitandaoni ni sahihi? Kwanini usisepe kimya kimya, sidhani kama unalazimishwa kuendelea nae.
Joyce kiria si mfano mzuri kwa mwanamke wa ndoa. Na kwa mtindo alionao atavunja ndoa nyingi za mazwazwa wenzake.
Kampiga kwenye mitandao? Mimi sina shida na yeye kusema amepigwa, hakuna anayetetea kipigo. Angelalamika tu kuwa anapigwa tungemuelewa.Mbona jamaa kampiga hadharani ?
Kwanini asingesubiri arudi nyumbani ndo ampige wakiwa chumbani?
Bora kukosea kujenga kuliko kukosea kuoa.
Huyu ni machame sio maranguDada zangu wa Kimarangu huwawezi kuvumilia lazima waongee na hawana aibu, japo pia huyu Kiria naye ana matatizo yake makubwa
Tena mno mwanaume kama hotpot lenye maharagwe anajijali yeye kama yeye anafurahi akiwa anatoka kwenda kwa makahaba wake, kuna wanaume wabinafsi sana na u mwambie sasa majibu yake unaweza kojoa damu, huyo dada yawezekana kavumilia mpaka kachoka wanaume mnazidi [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]SIKIENI TU KWA WATU, MWANAUME MBINAFSI ANACHOSHA SANAAAAANA, YAANI UANAKUWA KAMA UPO NYUMBANI PEKE YAKO,
Ushaurii mzurii sana huoMhh!mbombo ngafu!Ila Joyce hizo ni siri za ndani na familia yako kwa ujumla hukupaswa kupost huko Insta.Suala kama hili ulipaswa mlimalize kifamilia,je hamna wazazi?ndugu jamaa na marafiki? Unachokifanya ni kujianika kwenye public ambayo kimsingi haina msaada kwenu zaidi ya kukucheka na kukuhurumia kinafiki.
Mumeo hata kama amekosea hukupaswa kuja kulalamika insta,kila mtu akileta matatizo yake insta ndoa nyingi zisingekuwepo.Kama unaona imefika mwisho ni bora uachane naye ,ingekuja tu stori Joyce kaachana na Kileo basi but kwa unachokifanya unajidhalilisha wewe mwenyewe na mumeo!
But pole kwa yote magumu unayopitia tafuta njia sahihi za kumaliza tatizo lenu na sio Instagram.
Madogo yana nafuumakubwa
Sasa sahiz nyee.ge zimemzidia sijui ataponea wapiAnawashwa?? Bahati mbaya alisema kumla 70% ya mavazi na Gypsum plasta alopaka, sasa ukiongeza ubibi plus maringo hayo, wanaume wanampisha tu kama hawamuoni
Asilimia 92% ya matatizo ya ndoa yanasababishwa na wanaumeNimeelewa vitu viwili..hii ndoa ilikua ishafeli sasa jamaa alichokifanya ni kuacha kila kitu na kuhama nyumbani...sasa kinachotokea ni frustration za aina nyingi kwa mwanamke maana baba hayupo, gharama zimekua kubwa na jamaa si kuwa hayupo ila pia yupo kimya...ndio maana Joyce anaongea kila mahali maana anahitaji msaada ila hajui aupate wapi, na anaomba aachiwe biashara zake kama biashara nizake kwann aombe aachiwe? Hii ina maana kwamba hizo biashara kafunguliwa na mumewe...kwasasa sina cha kumshauri maana hataelewa...huyo kileo atakua anakaa lodge na hela si anayo ...atatafuta katoto kadogo kakutumbua nae..watoto wake watakua wanateseka mno ila kila akimkumbuka mke atakua anaenda mbali zaidi...natamani ningepata nafasi ya kuwashauri wote...tatizo kileo yupo kimya..hujui na yeye yamemsibu yapi...wanaume wana koromeo...poleni watoto poleni sana...nakaribisha PM kwa ushauri zaidi