Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

Nimeelewa vitu viwili..hii ndoa ilikua ishafeli sasa jamaa alichokifanya ni kuacha kila kitu na kuhama nyumbani...sasa kinachotokea ni frustration za aina nyingi kwa mwanamke maana baba hayupo, gharama zimekua kubwa na jamaa si kuwa hayupo ila pia yupo kimya...ndio maana Joyce anaongea kila mahali maana anahitaji msaada ila hajui aupate wapi, na anaomba aachiwe biashara zake kama biashara nizake kwann aombe aachiwe? Hii ina maana kwamba hizo biashara kafunguliwa na mumewe...kwasasa sina cha kumshauri maana hataelewa...huyo kileo atakua anakaa lodge na hela si anayo ...atatafuta katoto kadogo kakutumbua nae..watoto wake watakua wanateseka mno ila kila akimkumbuka mke atakua anaenda mbali zaidi...natamani ningepata nafasi ya kuwashauri wote...tatizo kileo yupo kimya..hujui na yeye yamemsibu yapi...wanaume wana koromeo...poleni watoto poleni sana...nakaribisha PM kwa ushauri zaidi
le

Mimi pia nimeelewa nadhani ndoa yao imefikia ukingoni na BI JOYCE alijiaminisha kwamba KILEWO hawezi kuondoka au kumwacha. hapa nionacho ni kwmaba ameondoka for good, ss bibie anaanza kutapa tapa asijui kwamba hiyo ndio niondolee... kwa maana hiyo alivyolipa kodi ya nyumba ndipo akajua mambo ni kwisha kabisa analisema imaging now nalipia nyumba... kumbe shida haiko kwa KILEWO kwamba hana pesa no shida ni kwamba ushirika umepotea,.... analalamika hataweza kuzaa kwa style hiyo hapo hakuna mapenzi tena labda miugiza itokee sidhani wa hapa kuna ndoa tena.


Na sidhani kama Joyce akimwomba kwa unyenyekevu Kileo aje asign kwa ajili ya kutoa pesa kama atakataa.. ushauri mwingine aende bank kuchange signatories ni kitu kinachowezekana
 
Kwamba anataka kumsafisha kamanda kileo kuwa hela anayo ....!!!!

Hebu aache utoto bana!Sisi wakongwe huwa hatudanganywi!
 
siku zote msema pweke mshindi...natamani kusikia kilewo anasemaje kuhusu hili
 
Mmmh....insta kuna msaidia nini?

Mambo yako ya familia unaleta social media duuh!

Hii ni aibu kwake, na hamchoreshi huyo marioo, anajichoresha yy mwenyewe, coz now tumejua Joyce ni sugar mumy!
 
Watu wa psychology ukimsoma huyu dada huwezi kumuamini hata kidogo.
Yan kiufupi haaminiki...ili kujudge lazima upate story ya upande wa pili..
Maana ukiangalia kwa undani dhumuni la kuandika hapo ni kutafuta huruma ya umma ....
Na inawezekana hizo biashara ni za wote lkn huyu bibi anatafuta huruma ya watu kwa kupost mitandaoni..

Wenye akili wameshapata picha yote
 
hakuna kitu huwa nafurahi nikikuta jibwa jike lililokuwa linang'ata wenzie limekamatwa kwenye mtego, linapigwa kipigo cha mwizi, halina pa kwenda, linalialia tu. ni burudani. feminists wameharibu ndoa za watu wengi sana hapa tz, na ni halali yao wapigwe tu.
 
Back
Top Bottom