Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

Ndio haya nilianzishia uzi hapa.
MKE WANGU ANANIPIGA VIJEMBE WHATSAPP STATUS
 
Ila wanaume mnapogombana na wake zenu muwe mnajali izo damu zenu jamani ..... Watoto ni baraka
 
Ndio maana kumbeeeee! Nilihisi kitu kama hicho. Pumbavu kabisa
Ila nachohisi ni atakua ameshirikisha ndugu na kafanya juudi zote mwisho akaona amdhalilishe tu.... Japo asingetakiwa kufanya ivo maan bado maisha yanaendelea
 
Mwanamke mpumbavu ataivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Basi timuombee na kumtia nguvu aliepokea mzigo huu[emoji120]
 
Loooh! Kama wanawake wenyewe ndo hawa basi bhana bora kufa imedinda
 
Joyce pole sana mwaya kwa mapito unayo pitia !
Endelea kupambana na kutafuta ufumbuzi wa yanayonikabili !
Mwombe Mungu kisha mtumaini naye atazidi kukupigania na kukufanyia wepesi penye magumu!
Ili mradi wote mko wazima na watoto maisha ni lazima yaendelee !
Mimi nakuaminia tafuta Hata ushauri wa kisheria upate haki zako!
Yatakwisha na utatulia vizuri tu mwaya!
Kuwa makini na watu wengine ambao machoni wanaonesha kuwa pamoja na Wewe lakini Moyoni sivyo!
 
Sijui ni kwanini wanawake wakipenda huwa wanapenda mazima [emoji87][emoji87]
Yani unabadili umiliki wa vitu ambavyo Mume amekukuta navyo ? [emoji87][emoji87]
 
Wachaga nao watu basi
Best futa kauli kabla la mtu na tabia huwezi generalize kabisa huyu mmama sijui kapatwa ama kiherehere chake huyo kilewo alimtuma kujipendekeza kuhudumia familia?Halafu bank nao ni wahuni jamani umeenda kufungua joint Acc mkishindwana huwezi reverse mwenyewe mpaka kilewo aje bank naye akubali mnabadilisha namna ya kuendesha acc .
 
Huyu dada anaaibisha WAKIBOSHO, KIRIA UKOO WA WAHUNZI WA ZANA ZA JADI ambao walipofika mjini au WAKISOMA au KUTAJIRIKA wanajiita MWORIA
 
Kinachonifurahisha ninapousoma huu uzi ni kwamba asilimia kubwa ya wamama hawakubaliani na njia anayoitumia Joyce Kiria katika kutatua matatizo ya ndoa yake, yaani kwa kupitia mtandao wa kijamii wa Insta.

Nimefarijika kujua kuwa bado yapo matumaini ya kijana kumuoa mke mwenye maadili.

Huu mtindo wa siku hizi wa wadada kuwafanya boyfriends kama ATM, pamoja na hili sakata la Joyce vilianza kunikatisha tamaa.
 
Jamii yetu itachukulia kosa la kuanika mambo mitandaoni ndo kubwa kuliko kutelekeza familia na hawana chakula.
 
Back
Top Bottom