Alex mwinuka
Member
- Jan 10, 2017
- 37
- 5
Jamani natafuta mwanamke kama huyu kiria nipe nafasi hiyo mimi
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio mwanaume unatakiwa uwe hivyo,hakuna kujibishana na mwanamkeJamaa kauzu balaa na mapigo yote ya upande wa pili hajajibu chochote tu?
Na ww una amini kbs kamanda analelewa na huyo super woman?...Mmmh....insta kuna msaidia nini?
Mambo yako ya familia unaleta social media duuh!
Hii ni aibu kwake, na hamchoreshi huyo marioo, anajichoresha yy mwenyewe, coz now tumejua Joyce ni sugar mumy!
Ni vizuri kumwaga mtama kwenye kuku wengi hili kuku wengi wale na kunenepa, au vp bro ?Anayemwaga mtama kwenye kuku wengi na kuna channels za kushughulikia tatizo na likasuluhishwa.
Mali kama ilipatikana through joint effort ni matrimonial lazima waigawane kulingana na mchango wa kila mwanandoaSheria hizi ziko friendly na wanawake ...geuza u pande wa pili jamaa ana mali mwanamke hana wangegawana pasu kwa pasu ila inategemea kuoa wanawake wenye vpato ujipange huenda jamaa ana provide familia kwa kidg alichonacho yy anaona hakitosh ...nshaona kadhia ka hii ..mtu ajipange kuoa wenye vipato
Safi sana.Ni vizuri kumwaga mtama kwenye kuku wengi hili kuku wengi wale na kunenepa, au vp bro ?
Marioo huwa wananyamazaga hivi hizi ndo tabia zao kuu
Kula tano dadaSwala siyo mume aliyekuzalisha, akisha kuwa mume wako huyo ni mwandani wako. Hata kama ana tabia za aina gani huwezi muanika hivi, iwe ni kwa ndugu au marafiki sembuse kny mitandao.