Hivi huyu Diamond alikuwa ametumia nini mbona kama anapepesuka?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Staa wa muziki, Diamond Platnumz, ameonekana akishuka kwenye gari la kifahari aina ya McLaren huku akiwa amezungukwa na walinzi wake binafsi (bodyguards) ambapo anaonekana akipata changamoto kidogo wakati akitoka ndani ya gari hilo lenye milango inayofunguka kuelekea juu, hadi kufikia hatua ya kuyumba kabla ya kushikwa na mlinzi wake.

Your browser is not able to display this video.
 
Alafu mbona akitembea kama anajibinjua ..
 
You better watch your back! Mamba 24
 
U
Ushawahi kuvaa skuna ww? Au huzijui hata skuna ni nini
 
Ile kashfa kupididiwa ilishaje..

Dudubaya njoo ujibu swali
 
Marufuku kutamani maisha ya mtu 🤣
 

Soda ya Pepsi Haina Gesi. Kabla ya Show lazima abustiwe na baada ya Show lazima abustiwe.

Masharti ya Mganga hayo, wewe huoni kavaa Diapers hapo alipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…