Dizaina wake amfukuze ,mbona nguo za dayamondi zimekaa kibela wachi yua baki?Staa wa muziki, Diamond Platnumz, ameonekana akishuka kwenye gari la kifahari aina ya McLaren huku akiwa amezungukwa na walinzi wake binafsi (bodyguards) ambapo anaonekana akipata changamoto kidogo wakati akitoka ndani ya gari hilo lenye milango inayofunguka kuelekea juu, hadi kufikia hatua ya kuyumba kabla ya kushikwa na mlinzi wake.
Kiwanda kimepata muwekezaji!Alafu mbona akitembea kama anajibinjua ..