dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Leo amekuwa Hana lolote baada ya kutoa boko ila kabala ya hapo Yuko POAAnaforce tu but naturally hana lolote.
Nitapita nigonge supu namkubali Sana Sopa , naona pia ameanzisha channel yake ya YouTube anaigiza na wale vijana wa commedy za YouTube Ila naona bado hayupo organizedSure mkuu
Kipande
Sopa
Mama dame
Afu nafkir maslahi ni madogo ...huyu jamaa ofis yake ilikua pale kinondoni studio ....nyumba moja pamoja na studio ya Man-water
Ilikua wakitoka location wanapika wanakula afu kila mtu anaenda kwake
Niliangalia ile lifestyle nka conclude kuwa alikua anawalipa hela ndogo pengine ndo maana wamekimbia
Sopa siku hz ana kisehemu pale sinza kwa remi anauza soup asubuh ...ukienda pale unamkuta jikoni anakimbiza
Vijana wameamua kujiongeza
Ume-note na kuelezea vizuri sana. Ubovu wa Bongo kwenye uigizaji unakuta mtu mmoja ni producer, writer, actor, lighting setup, director etc... yaani kazi zote anafanya yeye na hakuna mtu review wala ushauri kutoka kwa mtu yoyote. Hata mimi nakubali kuwa huyu jamaa ana kipaji cha kuchekesha lakini angetafuta wataalam wawe wanamwandikia na kumuongoza. Yeye abakie kuwa mwigizaji tu.Joti ana haiba ya uchekeshaji, ila nahisi hawezi unda vichekesho. Inabidi amtafute mtu awe anamtengenezea ye abaki kuigiza vichekesho hivyo.
Toka wametengana, joti huyu, siyo joti yule.
Yule joti alikuwa wa moto, utacheka tu.
Wapo wengi kweli kweli. Ila tatizo wachekeshaji wenye vipaji hawako kwenye industry na badala yake wale wanao-force ndiyo wako kwenye industry. Kwa ujumla siyo comedy tu ila ni fani ya uigizaji kwa ujumla.Tanzania hakuna wachekeshaji
Namuonaga kama Ana promote ushoga tuYaani kwetu mtu kuvaa kike ndo uchekeshaji...
Kutukana ndio uchekeshaji
Kuvaa hovyo ndo uchekeshaji
Wanarudia story za watu
95% ya wanaohusika na Sanaa ni mashoga au wanahamasisha ushogaNamuonaga kama Ana promote ushoga tu
Ova
Huwa wanaamua tu kucheka.Ni kama mtu asiyejua kiingereza darasani kila kitu ni "yes","oukey","yeah"!Mwishowe akiulizwa "do you understand"?Anasimama akidhani kaambiwa "stand-up"!Bogus kabisa!Mi naonaga tu ana maneno mengi lakini sioni uchekeshaji wowote. Yupo kama Kevin Hart, umachachari mwingi lakini content hamna.
Sasa hapa lengo lilikuwa kuchekesha, japo kazingua hapo kuingiza katiba lakini hata kuchekesha kwenyewe hakupo.
Huwa anawachekeshaje?
Kuchekesha watu ni kazi kubwa ya kuiba akili,nafsi na mawazo ya mtu ili umuhamishe utakavyo na afurahie utendalo au uongealo.Sasa,mtu anachezeshachezesha kope na kuvaa matambara makakioni ndiyo anataka ucheke!Ajabu hii!Joti huwa anakebehi jinsia ya kike tu wala siyo mchekeshaji. Kama angekuwa mchekeshaji angevaa uhusika wake wa kiume ndiyo achekeshe.
Usanii na elimu au usanii bila elimuMi naonaga tu ana maneno mengi lakini sioni uchekeshaji wowote. Yupo kama Kevin Hart, umachachari mwingi lakini content hamna.
Sasa hapa lengo lilikuwa kuchekesha, japo kazingua hapo kuingiza katiba lakini hata kuchekesha kwenyewe hakupo.
Huwa anawachekeshaje?
Ajabu sana. Mara acheke mwenyewe.Kuchekesha watu ni kazi kubwa ya kuiba akili,nafsi na mawazo ya mtu ili umuhamishe utakavyo na afurahie utendalo au uongealo.Sasa,mtu anachezeshachezesha kope na kuvaa matambara makakioni ndiyo anataka ucheke!Ajabu hii!
Maisha(ingawa tumezoea kuiita njaa)humfanya binadamu ajiongeze(ajitoe ufahamu)ili mvi zimkute ameshajua kutafuta ugali.Anakuwa anacheka tu haamini kama watu watacheka.Ajabu sana. Mara acheke mwenyewe.
Kuchekesha kunahitaji watu wenye akili. Kama huna akili unakuwa kituko.Nyerere hakuwa comedian lkn alikuwa anachekesha balaa