Hivi huyu Joti huwa anawachekeshaje watu?

Hivi huyu Joti huwa anawachekeshaje watu?

Sure mkuu

Kipande

Sopa

Mama dame

Afu nafkir maslahi ni madogo ...huyu jamaa ofis yake ilikua pale kinondoni studio ....nyumba moja pamoja na studio ya Man-water

Ilikua wakitoka location wanapika wanakula afu kila mtu anaenda kwake

Niliangalia ile lifestyle nka conclude kuwa alikua anawalipa hela ndogo pengine ndo maana wamekimbia

Sopa siku hz ana kisehemu pale sinza kwa remi anauza soup asubuh ...ukienda pale unamkuta jikoni anakimbiza

Vijana wameamua kujiongeza
Nitapita nigonge supu namkubali Sana Sopa , naona pia ameanzisha channel yake ya YouTube anaigiza na wale vijana wa commedy za YouTube Ila naona bado hayupo organized
 
Joti ana haiba ya uchekeshaji, ila nahisi hawezi unda vichekesho. Inabidi amtafute mtu awe anamtengenezea ye abaki kuigiza vichekesho hivyo.

Toka wametengana, joti huyu, siyo joti yule.
Yule joti alikuwa wa moto, utacheka tu.
Ume-note na kuelezea vizuri sana. Ubovu wa Bongo kwenye uigizaji unakuta mtu mmoja ni producer, writer, actor, lighting setup, director etc... yaani kazi zote anafanya yeye na hakuna mtu review wala ushauri kutoka kwa mtu yoyote. Hata mimi nakubali kuwa huyu jamaa ana kipaji cha kuchekesha lakini angetafuta wataalam wawe wanamwandikia na kumuongoza. Yeye abakie kuwa mwigizaji tu.
 
Ukiona shair hulielewi obviously hujaandikiwa ww

Binafsi simfatilii but as long as anashine basi sanaa yake inamlipa
 
Katika moja na mbili za kusaka tonge lolote linatoke..
.
Sawa na wale mazee tuliokua tunaenda nao UMISETA alafu si wachezaji wa mchezo wowote ... ile kukimbia life la skuli kwa muda
 
Mi naonaga tu ana maneno mengi lakini sioni uchekeshaji wowote. Yupo kama Kevin Hart, umachachari mwingi lakini content hamna.

Sasa hapa lengo lilikuwa kuchekesha, japo kazingua hapo kuingiza katiba lakini hata kuchekesha kwenyewe hakupo.

Huwa anawachekeshaje?


Huwa wanaamua tu kucheka.Ni kama mtu asiyejua kiingereza darasani kila kitu ni "yes","oukey","yeah"!Mwishowe akiulizwa "do you understand"?Anasimama akidhani kaambiwa "stand-up"!Bogus kabisa!
 
Joti huwa anakebehi jinsia ya kike tu wala siyo mchekeshaji. Kama angekuwa mchekeshaji angevaa uhusika wake wa kiume ndiyo achekeshe.
Kuchekesha watu ni kazi kubwa ya kuiba akili,nafsi na mawazo ya mtu ili umuhamishe utakavyo na afurahie utendalo au uongealo.Sasa,mtu anachezeshachezesha kope na kuvaa matambara makakioni ndiyo anataka ucheke!Ajabu hii!
 
Mi naonaga tu ana maneno mengi lakini sioni uchekeshaji wowote. Yupo kama Kevin Hart, umachachari mwingi lakini content hamna.

Sasa hapa lengo lilikuwa kuchekesha, japo kazingua hapo kuingiza katiba lakini hata kuchekesha kwenyewe hakupo.

Huwa anawachekeshaje?


Usanii na elimu au usanii bila elimu
 
Kilichokufanya umponde Joti ni coz ametaja issue ya katiba,unaonekana umetawaliwa sana na issue za kisiasa,relax mkuu,life is very short.
 
Back
Top Bottom