Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
Mi naonaga tu ana maneno mengi lakini sioni uchekeshaji wowote. Yupo kama Kevin Hart, umachachari mwingi lakini content hamna.
Sasa hapa lengo lilikuwa kuchekesha, japo kazingua hapo kuingiza katiba lakini hata kuchekesha kwenyewe hakupo.
Huwa anawachekeshaje?
nikishaona mchekeshaji/msanii wa kiume anaweza akajipaka lipstick na marangi usoni kisha akavaa mawigi na matiti bandia na nguo za kike, huwa naona ni shoga tu, sioni usanii wo wote. Kwangu mimi wachekeshaji wote wa bongo ni mashoga tu.
Kuna lile kundi linajiita kitimtim wanaonyeshwa dstv channel 160, kuna jamaa anavaa kike wiki hii nimemsikia kabisa eti anasanii kuwa alikuwa kwa bwana yake, nilitaka kutapika, lilikuwa tangazo tu katikati ya Jua Kali.