jimama26
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,839
- 2,963
Hata Crazy Kennar amewaacha mbali kabisa wakongwe wa bongo.
Very true
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Crazy Kennar amewaacha mbali kabisa wakongwe wa bongo.
Mimi naonaga tu ana maneno mengi lakini sioni uchekeshaji wowote. Yupo kama Kevin Hart, umachachari mwingi lakini content hamna.
Sasa hapa lengo lilikuwa kuchekesha, japo kazingua hapo kuingiza katiba lakini hata kuchekesha kwenyewe hakupo.
Huwa anawachekeshaje?
Kwahiyo kuchekesha mpaka ujiite Nishai Mtombangile Kitwango Mikazo???Kuchekesha watu ni kazi kubwa ya kuiba akili,nafsi na mawazo ya mtu ili umuhamishe utakavyo na afurahie utendalo au uongealo.Sasa,mtu anachezeshachezesha kope na kuvaa matambara makakioni ndiyo anataka ucheke!Ajabu hii!
Na Polepole.Ndugai, Mwigulu
Nasikia alipigwa paipu juzi juzi😂Msaka tonge a.k.a hustler
Kabisa, kabisa, anaitwa Sumaku. Ana maneno mengi kweli na anajuaJoti hachekeshi.
Yule Mzee wa mizengwe sijui anaitwa nani..nikimuona tu kabla hajaongea chochote nacheka
Yes huyo huyo sumaku. Ni shidaKabisa, kabisa, anaitwa Sumaku. Ana maneno mengi kweli na anajua
Una uhakika kawafukuza?Kuna watu joti aliwapoteza now ameshuka Sana , kwenye YouTube channel yake kuna jamaa anaitwa kipande , na Sopa na Madame kiukweli hawa walimweka juu Sana joti kipindi ametengana na original commedy , amewafukuza now kabaki mtupu kabisa
Pia naona ana acc yake youtube anapost comedySure mkuu
Kipande
Sopa
Mama dame
Afu nafkir maslahi ni madogo ...huyu jamaa ofis yake ilikua pale kinondoni studio ....nyumba moja pamoja na studio ya Man-water
Ilikua wakitoka location wanapika wanakula afu kila mtu anaenda kwake
Niliangalia ile lifestyle nka conclude kuwa alikua anawalipa hela ndogo pengine ndo maana wamekimbia
Sopa siku hz ana kisehemu pale sinza kwa remi anauza soup asubuh ...ukienda pale unamkuta jikoni anakimbiza
Vijana wameamua kujiongeza
Wanazidiwa hata na wakenya.Nyonyoma kwa mbali, baadhi ya clips zake ni nzuri. Pia watu wa cheka tu huwa wanaotea punchlines hapa na pale. Ukweli ni kuwa sekta ya comedy bongo haina tofauti na wenzao wa bongo movie. Contents zao za kitoto sana.
Mimi naonaga tu ana maneno mengi lakini sioni uchekeshaji wowote. Yupo kama Kevin Hart, umachachari mwingi lakini content hamna.
Sasa hapa lengo lilikuwa kuchekesha, japo kazingua hapo kuingiza katiba lakini hata kuchekesha kwenyewe hakupo.
Huwa anawachekeshaje?
🤣🤣🤣🤣hili nalo nenoUlishaona kichaa anachekeshwa?
Nenda mirembe katibiwe
Joti kampita kidogo sana yule jamaa wa "KIDOGO"Nampenda sana joti,ni muigizaji mzuri sana,labda kama una personal conflict naye