Hivi huyu mtu anayejiita Mfalme Zumaridi anatuchukuliaje?

Nimetizama mahojiano ya huyu anayejiita mfalme Zumaridi na Mtangazaji wa Clouds, Millard Ayo na nimebaki na maswali mengi sana lakini kubwa ni kwamba ANATUCHUKULIAJE WATANZANIA?

Zumaridi anasema akiwa darasa la 3 alitokewa na Mungu akiwa na umbo la jua lakini usiku, kwa hiyo yeye aliweza kuangalia jua tena lililotokea Usiku.

Anasema yeye ameshaenda Mbinguni mara nyingi sana na mbinguni kuna nyumba za ghorofa na alipoenda motoni alikuta watu wanamlilia awaokoe wengine wanaongea kisukuma.

Zaidi anasema ameshakutana na Ibrahimu ambaye alimtambulisha kwa Eliya na Yakobo, na eti aliingia kwenye ofisi ya Mungu. Ningehoji Wasukuma mnatukuliaje sisi lakini nitaonekana mkabila, naacha tu.

Mwenye muda akatazame kwa Millard.

View attachment 2549515
Huyo ni chizi fresh anayepewa airtime na wajinga wengi
 
Hayo ndio maubili ya wakiristo unashangaa nn?
 
Professional doctor hawezi akathibitisha fulani ni mgonjwa bila kumpima na kujua historia yake,
Professional doctor hawezi kuja na suluhisho fulani ni mgonjwa wa akili kwa kumuona kwenye tv,

Na kitendo cha kukomalia "mimi ni tabibu, mimi ni tabibu" tayari inaonesha kuna shida mahali,

Umeenda mbali sana kutaja Bipolar na Schizophrenic, mgonjwa wa Bipolar unamjuaje kwa kumuangalia kwenye Tv bila kua kwenye maisha yake halisi?

Schizophrenic really! Siwezi hata kuanzia kwenye hilo kisa amesema aliona Jua, aliona Malaika, alifika Mbinguni, alikutana na Manabii, aliona Watu waliokufa tayari umethibitisha ana Schizophrenic..... please[emoji732]️
Haya
 
Nmeishi nmekaa mwanza
Nmefanya kazi mwanza kama. Paediatric oncologist kwa Muda wa miaka kadhaa
Nmemuona huyo unayemuongelea hapa
Sipendi league I can say na accept Kila ulichosema upo sahihi
 
Huyu atakavyoanza kuonyesha negative symptoms tutakuepo hapa

Tuombeane uzima
Mkuu wengi wanakupinga lakini moja ya dalili ya grandiose Ni kujiamini, hii inatokana na kujiona wao Ni Bora kuliko wengine , yaani wao Ni Kama mfalme, na wanaamini mawazo yao ndio sahihi

Hii inawafanya kuwavuta watu wenye upeo mdogo na kuwaambukiza wanacho kiamini ,mwisho wa siku nao wanakuwa wagonjwa

Huyu mama akipewa Sana airtime Nina hakika atawaambukiza ukichaa watu wengi sana
 
Nmehudumia wagonjwa wa akili nawafahamu hata kwa kuandika
Nmekaa nao Muda mrefu Sana

Nimeona nisibishane nao sababu haina Maana utoke kazini umechoka uje ubishane na watu Humu

Hautokua Sawa kabisa

Huyo mama anaionyesha grandiosity wazi wazi kabisa aisee sina shida na yeye kujiingizia kipato or whatever nmeongea kwa upande wa taaluma yangu
 
Hata mimi ni tabibu, ila nimempuuzia na kuona kuwa ni njaa tu ya mafanikio ndo inayomsumbua.Ana akili timamu kabisa. Anajua anachotarajia na kaweka mikakati yake ili kufikia ndoto zake, lengo lake ni kupata watu wengi ipasavyo ,yeye kujulikana ili avute watu na sadaka ziongezeke. Fikiria anasema kumfufua Kanumba na Sajuki. Kalenga hayo majina coz anajua ni ma star hivyo atagusa watu weeengi. Niliangalia interview yake kuna sehemu alisema Dr alifanye C section kwa mama yake ili yeye azaliwe,Dr alikuwa peke yake na huyo mama Zuma kwenye chumba cha upasuaji. Uliona wapi Dr anakuwa peke yake na mama mjamzito tu wakati anafanya hii intervention?Ila majority wataamini.
Mimi ninamuona Zumaridi ni mwanamke mwenye akili kaamua kutumia njia hiyo ili kujukwamua kimaisha.
Sawa Sawa mkuu

Upo sahihi kabisa nmekubali
 
Na hao waandishi wa Vitabu vya Supernaturals, wana matatizo ya Akili? Maana akichokisema Zumaridi kipo kwenye movies kibao na hata ikitokea Mtu akatungia kitabu/movie anapiga hela ndefu [emoji38]
You could have a centric way of viewing things leo tungeelimishana na kufahamishana mambo mengi Sana but you have a eccentric ways of viewing things and I can't judge you by that I have delt with gender dysmorphic patient also a lot so I can't judge you and I am sorry I had to go back to your post concerning your lesbianism I understand you a lot
 
Afya ya akili tu
IMG-20230320-WA0001.jpg
 
Na hao waandishi wa Vitabu vya Supernaturals, wana matatizo ya Akili? Maana akichokisema Zumaridi kipo kwenye movies kibao na hata ikitokea Mtu akatungia kitabu/movie anapiga hela ndefu [emoji38]
Answering your questions without deferring the main message

If they genuinely believe they are interacting with an unknown entity that cannot be observed, measured, has no demonstrable and observable evidence to prove it exists, and does not appeal to any of the senses, then they may suffer irrational beliefs that do not coincide with actuality, it would be very unwise to consider them clinically psychotic. Delusional yes, but psychotic no.

If they start believing that the entity is giving them orders and demands, communicating with them, influencing events in their life and in the real world(such as believing that a deity told them to set fire to the library because they cannot afford to have that bible “besmirched by science” or to be in a specific place because a sequence of events will happen), and they aren't saying that to exonerate themselves from their actions but actually believe such rubbish that's totally out of tune with reality, maybe then it's time to see a psychiatrist.

Psychosis is a clinical disorder most commonly characterized by delusional thinking, hallucinations, depression, and numerous other symptoms. But not everyone who is irrational is psychotic.
Some irrationality maybe way of making money kama unavyosema

Some irrationality maybe simply a confabulation or pathological lying

The question of faith and deity is one of the complex psychological entity to deal with
 
Nimetizama mahojiano ya huyu anayejiita mfalme Zumaridi na Mtangazaji wa Clouds, Millard Ayo na nimebaki na maswali mengi sana lakini kubwa ni kwamba ANATUCHUKULIAJE WATANZANIA?

Zumaridi anasema akiwa darasa la 3 alitokewa na Mungu akiwa na umbo la jua lakini usiku, kwa hiyo yeye aliweza kuangalia jua tena lililotokea Usiku.

Anasema yeye ameshaenda Mbinguni mara nyingi sana na mbinguni kuna nyumba za ghorofa na alipoenda motoni alikuta watu wanamlilia awaokoe wengine wanaongea kisukuma.

Zaidi anasema ameshakutana na Ibrahimu ambaye alimtambulisha kwa Eliya na Yakobo, na eti aliingia kwenye ofisi ya Mungu. Ningehoji Wasukuma mnatukuliaje sisi lakini nitaonekana mkabila, naacha tu.

Mwenye muda akatazame kwa Millard.

View attachment 2549515
Mamlaka ilipaswa ichukue hatua ya kumfutia leseni na kuja na Vigezo maalum kwa mtu anayetaka kuwa mchungaji au muhudumu wa kiroho sio mtu anaibuka na ndoto za mchana tu
 
KIla mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake muacheni ndio wakati wake
 
Back
Top Bottom