Hivi huyu mtu anayejiita Mfalme Zumaridi anatuchukuliaje?

Hivi huyu mtu anayejiita Mfalme Zumaridi anatuchukuliaje?

Nimetizama mahojiano ya huyu anayejiita mfalme Zumaridi na Mtangazaji wa Clouds, Millard Ayo na nimebaki na maswali mengi sana lakini kubwa ni kwamba ANATUCHUKULIAJE WATANZANIA?

Zumaridi anasema akiwa darasa la 3 alitokewa na Mungu akiwa na umbo la jua lakini usiku, kwa hiyo yeye aliweza kuangalia jua tena lililotokea Usiku.

Anasema yeye ameshaenda Mbinguni mara nyingi sana na mbinguni kuna nyumba za ghorofa na alipoenda motoni alikuta watu wanamlilia awaokoe wengine wanaongea kisukuma.

Zaidi anasema ameshakutana na Ibrahimu ambaye alimtambulisha kwa Eliya na Yakobo, na eti aliingia kwenye ofisi ya Mungu. Ningehoji Wasukuma mnatukuliaje sisi lakini nitaonekana mkabila, naacha tu.

Mwenye muda akatazame kwa Millard.

View attachment 2549515
Huyu ana tatizo sugu la akili mkuu, ni kumpuuza tu
 
Kupitia hiyo interview ndio nimeamini Zumaridi ana akili sanaaa, kwanza hajasoma sana kaishia darasa la 7 tu lakini angalia kaweza kuwateka watu maelfu kwa maelfu wanamuelewa na huwaambii kitu, ana maisha ya kifahari, kumuona huyo Mama hana akili ni kujikosea wewe mwenyewe, huyo Mama ana akili sana ndio maana kashika akili za wengine,

Wanaomchukia nao wana tatizo hayo ni masuala ya kiimani zaidi, mbona wewe unaamini unachoamini kwanini iwe nongwa kwake kuamini kua katokewa na Jua na alipelekwa Mbinguni,

Gwajima alikua anaitwa Yesu na Waumini wake,
Nabii Mkuu alisema alishatokewa na Yesu live,
Bado kuna Mitume na Manabii tele wanasema wameshushiwa Upako wa kuponya wengine,

Kwanini kwa Zumaridi iwe Nongwa? Kisa Mwanamke?
Muacheni Mama wa Watu kishaenda Mbinguni na karudi kazi kwako.
Sio Zumaridi tu

Wapo wengi wenye matatizo

I once wrote a paper about mental diseases being contagious and I can tell you sio yeye tu wapo wengi but we have normalize it...
 
Kuna wasabato walitaka kupanda ndege Pale airport kwenda Marekani huku hawana hata passports lakini nao utakuta wanamshangaa Zumaridi.
 
Sitaki kubishana na wewe bwana

For any experienced medical personnel he / she can recognise a mental unfit person simply by observing the traits popping up subconsciously

Mfano kwa comment yako " kama wewe ni daktari, umeikosea taaluma ya Kidaktari"
These few lines can tell me much about you

Or simply my words " sitaki kubishana na wewe bwana"

Kitendo cha kumuona Mtu ambaye hujawahi kukaa nae hata sekunde 5 zaidi ya kwenye tv kua ni Mgonjwa wa Akili sababu tu anafanya vitu ambavyo wewe hupendezwi navyo basi jua wewe ndie mgonjwa,

Huwezi kusema Tapeli ni Mgonjwa wa Akili au Mchekeshaji ni Mgonjwa wa Akili
 
Haya.
 
No she is sick....

She may be getting money but she is sick

Delusional of grandiose ni hatari anaionyesha wazi wazi kabisa
Watu wagonjwa wa akili ni wale wanashindwa kufanya shughuli zao za kutatua matatizo yao kwenye maisha. How unasema huyu dada ni mgonjwa wakati ni hard worker, smart, mambo yake tunayaona.Hakuna sehemu analia maumivu hadi ashindwe kupiga kazi.Katoka jela siku hiyo hiyo kaanza kupiga kazi..
 
Sio Zumaridi tu

Wapo wengi wenye matatizo

I once wrote a paper about mental diseases being contagious and I can tell you sio yeye tu wapo wengi but we have normalize it...
Eeeeh! Daktari hii ya wapi tena

"mental diseases being contagious"

Kivipi yaan mbona utafiti wako ni kiboko
 
Eeeeh! Daktari hii ya wapi tena

"mental diseases being contagious"

Kivipi yaan mbona utafiti wako ni kiboko
Hua ni ngumu sana ku deal na watu wa Aina yako

Your characters as a lesbian speaks a lot wewe ni mbishi na usiyetaka kujifunza
 
Eeeeh! Daktari hii ya wapi tena

"mental diseases being contagious"

Kivipi yaan mbona utafiti wako ni kiboko
Kama. Ungekua ni mtu mwelewa na mstaarabu you could simply ask how is it possible that mental diseases are contagious

And you could be much curious to learn and understand lakini ndo much know Sasa ndugu yangu unajua yote na unafahamu yote

Sijui unaishije na watu huko

I am curious
 
No she is sick

Mimi ni daktari na nimehudumia wagonjwa wengi wa akili kama yeye

She is sick!
Hata mimi nimeshawahi kufanya kazi na watu wenye tatizo la akili.Yaani hao watu wengi .Hawawezi kabisa kufanya shughuli za kila siku ili kutafuta solution za matatizo kwenye maisha. Unakuta mtu hata kwenda kazini hawezi.Mtu anachapa kazi zake vizuri,unamwona anatatua matatizo yake,anaweka mwanasheria kumpambania ili atoke jela,anatoka jela anapiga kazi na anasema yaliyopita yamepita. Utasema vipi mtu huyu anaumwa akili ?
 
Watu wagonjwa wa akili ni wale wanashindwa kufanya shughuli zao za kutatua matatizo yao kwenye maisha. How unasema huyu dada ni mgonjwa wakati ni hard worker, smart, mambo yake tunayaona.Hakuna sehemu analia maumivu hadi ashindwe kupiga kazi.Katoka jela siku hiyo hiyo kaanza kupiga kazi..
Mgonjwa wa akili si lazima ashindwe kufanya kazi
 
Baba Swalehe Zumaridi ni maisha ya shida na umaskini ndo vimemfanya awe Zumaridi leo.Ni katika kutafuta solutions katika kutoutaka umaskini ndo leo ni Zumaridi. She is very very Smart. Kudos to her.
"Necessity is the mother of invention"
 
Hata mimi nimeshawahi kufanya kazi na watu wenye tatizo la akili.Yaani hao watu wengi .Hawawezi kabisa kufanya shughuli za kila siku ili kutafuta solution za matatizo kwenye maisha. Unakuta mtu hata kwenda kazini hawezi.Mtu anachapa kazi zake vizuri,unamwona anatatua matatizo yake,anaweka mwanasheria kumpambania ili atoke jela,anatoka jela anapiga kazi na anasema yaliyopita yamepita. Utasema vipi mtu huyu anaumwa akili ?
Mtu mwenye tatizo la akili si lazima ashindwe kufanya kazi
Mfano mtu tunayemwongelea hapa Ana bipolar disorder/ ama schizophrenia sijui kama unaifahamu sababu umesema umefanya kazi na wagonjwa basi unaifahamu
Tunamwona kabisa akiwa anaongea moja
1. Ana Flight of ideas
2. Circumstantially inaonekana
3. Bizzare talking / dressing pattern
4. Delusion of grandiose zipo za kutosha anazionyesha wazi wazi
5. Inflated self esteem
6. Ana racing thoughts nyingi mno

She is exuberant and so flamboyantly
 
Back
Top Bottom