johnthebaddest
Member
- Feb 16, 2023
- 27
- 14
Halafu chaajabu ukipaangalia kwake pakishua sjui pesa za kujenga iyo mijengo zote kapata kwenye Dini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah ila mirlad Ayo n mnafiki sana anachomekea vimaswali then anakubali tuu.🤣🤣Huyo anatakiwa aende akapime afya ya akili Yake
Hana shida yoyote ya akili. Ni vile tu ameamua kuwa na namna yake ya ku view issues differently.Dada ana shida ya akili au Ndio biashara kuwateka waumini wake maana kuna watz uelewa ni sifuri
Naona wabakupa taabu sana kwenye uchawi wako.Hana shida yoyote ya akili. Ni vile tu ameamua kuwa na namna yake ya ku view issues differently.
Mbona watu kama Zumaridi wakitokea Ulaya na Marekani, huku Afrika wanakubakika faster sana.
Makanisa kama ya walutheri na wasabato ni mifano ya makanisa yaliyoanzishwa na Mazumaridi wa Ulaya na Marekani.
Wakina nani ?Naona wabakupa taabu sana kwenye uchawi wako.
Ana akili vizuri tu.Hiyo ni njia yake aliyobun ili kujipatia pesa.Huyu mmama Ana typical bipolar disorder au personality disorder
Kwanza Ana Inflated self-esteem or grandiosity
Pia Ana Flight of ideas or racing of thoughts ukimuobserve tu
Wasipomtibu huyu atafika pabaya
No she is sickAna akili vizuri tu.Hiyo ni njia yake aliyobun ili kujipatia pesa.
Kuna popoma mwingine hapa yeye anasema eti alikuta wimbo wa Umbrella wa Rihanna unapigwa kuzimu...😳😳[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii dunia ina machizi mengi sanambona wengi tu wanasema wameongea na Mungu. Msamehe bure tu kuna kitufe cha mawasiliano kichwani kwake kilinyofoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama wewe ni daktari na unamuona Zumaridi ana tatizo la Akili basi umeikosea taaluma ya udaktari,No she is sick
Mimi ni daktari na nimehudumia wagonjwa wengi wa akili kama yeye
She is sick!
She is not. Mwenzako yupo kazini.No she is sick
Mimi ni daktari na nimehudumia wagonjwa wengi wa akili kama yeye
She is sick!
Na Pesa anaipata haswaa,Ana akili vizuri tu.Hiyo ni njia yake aliyobun ili kujipatia pesa.
Ndo shangaa,mtu yupo smart.Mtu asie na akili aweze kushawish watu wote hao?Mtu asie na akili kweli anzie chini kwenye utafutaji,kutoka kuuza samaki mpaka kuwa na kanisa na maendelo hayo.Kwangu mimi huyu ni HUSTLER. Pongezi kwake kishauaga umaskini.Na Pesa anaipata haswaa,
Halafu Mtu anasema ana tatizo la Akili,
Watanzania bhana
Sitaki kubishana na wewe bwanaKama wewe ni daktari na unamuona Zumaridi ana tatizo la Akili basi umeikosea taaluma ya udaktari,
Jitafakari upya