Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Nilishangaa huyo dogo kumfata kumhoji Zumaridi ni kama pana watu wapo kwa ajili ya kutengeneza hizo mambo watu waache kujadili vitu vya msingi waamie huko....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule ni kichaa, nchi vichaa walivyo wengi hakosi wafuasi. Mi ninayesikiliza naona aibu yeye haoni shida. Sasa mtu km yule ni binadamu wa kawaida?Nimetizama mahojiano ya huyu anayejiita mfalme Zumaridi na Mtangazaji wa Clouds, Millard Ayo na nimebaki na maswali mengi sana lakini kubwa ni kwamba ANATUCHUKULIAJE WATANZANIA?
Zumaridi anasema akiwa darasa la 3 alitokewa na Mungu akiwa na umbo la jua lakini usiku, kwa hiyo yeye aliweza kuangalia jua tena lililotokea Usiku.
Anasema yeye ameshaenda Mbinguni mara nyingi sana na mbinguni kuna nyumba za ghorofa na alipoenda motoni alikuta watu wanamlilia awaokoe wengine wanaongea kisukuma.
Zaidi anasema ameshakutana na Ibrahimu ambaye alimtambulisha kwa Eliya na Yakobo, na eti aliingia kwenye ofisi ya Mungu. Ningehoji Wasukuma mnatukuliaje sisi lakini nitaonekana mkabila, naacha tu.
Mwenye muda akatazame kwa Millard.
View attachment 2549515
Angesema mweupe mngeamini na kumfuata kwa wingiNimetizama mahojiano ya huyu anayejiita mfalme Zumaridi na Mtangazaji wa Clouds, Millard Ayo na nimebaki na maswali mengi sana lakini kubwa ni kwamba ANATUCHUKULIAJE WATANZANIA?
Zumaridi anasema akiwa darasa la 3 alitokewa na Mungu akiwa na umbo la jua lakini usiku, kwa hiyo yeye aliweza kuangalia jua tena lililotokea Usiku.
Anasema yeye ameshaenda Mbinguni mara nyingi sana na mbinguni kuna nyumba za ghorofa na alipoenda motoni alikuta watu wanamlilia awaokoe wengine wanaongea kisukuma.
Zaidi anasema ameshakutana na Ibrahimu ambaye alimtambulisha kwa Eliya na Yakobo, na eti aliingia kwenye ofisi ya Mungu. Ningehoji Wasukuma mnatukuliaje sisi lakini nitaonekana mkabila, naacha tu.
Mwenye muda akatazame kwa Millard.
View attachment 2549515
Huhuu wewe ni mchokozi sijapata ona bora uikoss tuwe na amani
Wajinga ndiyo waliwao.Huyu jamaa alipitia huko alikuwa hadi na Phd ya uchawi,aliweza wafikia hadi wale majemedari 6 wa serikali ya shetani, alikuwa na nguvu kuzidi hadi majini, keshafika hadi sayari zingine tusizozijua kichawi akiwasiliana na viumbe vya huko.
Akaacha yote akaamua kurudi kwa Mungu leo ni mtumishi Mkubwa na anajua siri nyingi Sana za Shetani anafundisha youtube na media zingine
Usiyoyajua huwa ujingaW
Wajinga ndiyo waliwao.
Wajinga ndiyo waliwao.Usiyoyajua huwa ujinga
Hata Paulo alikutana na mungu yesu baada ya kuondoka rasmi duniani,usimlaum mungu wa huko ukristoni ni mtu simpo,maana alishawahi jichanganya kushuka duniani usiku,yakobo akamshtukia,zikapigwa usiku kucha mungu akapakachuliwa upaja alitakiwa kumbariki yakoboZumaridi anasema akiwa darasa la 3 alitokewa na Mungu akiwa na umbo la jua lakini usiku, kwa hiyo yeye aliweza kuangalia jua tena lililotokea Usiku.