othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Rumors has it, ana preg ya Askari magereza alimpelekea Moto akiwa custody
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ana wafuasi huyuNimetizama mahojiano ya huyu anayejiita mfalme Zumaridi na Mtangazaji wa Clouds, Millard Ayo na nimebaki na maswali mengi sana lakini kubwa ni kwamba ANATUCHUKULIAJE WATANZANIA?
Zumaridi anasema akiwa darasa la 3 alitokewa na Mungu akiwa na umbo la jua lakini usiku, kwa hiyo yeye aliweza kuangalia jua tena lililotokea Usiku.
Anasema yeye ameshaenda Mbinguni mara nyingi sana na mbinguni kuna nyumba za ghorofa na alipoenda motoni alikuta watu wanamlilia awaokoe wengine wanaongea kisukuma.
Zaidi anasema ameshakutana na Ibrahimu ambaye alimtambulisha kwa Eliya na Yakobo, na eti aliingia kwenye ofisi ya Mungu. Ningehoji Wasukuma mnatukuliaje sisi lakini nitaonekana mkabila, naacha tu.
Mwenye muda akatazame kwa Millard.
View attachment 2549515[/B]
HakikaMalipo mazuri.
Huyu jamaa alipitia huko alikuwa hadi na Phd ya uchawi,aliweza wafikia hadi wale majemedari 6 wa serikali ya shetani, alikuwa na nguvu kuzidi hadi majini, keshafika hadi sayari zingine tusizozijua kichawi akiwasiliana na viumbe vya huko.Zumaridi si wa kulaumiwa,bali watu wenyewe kwa sababu ya ujinga wao.View attachment 2549593
Huyo ni chizi iko siku atasema alikutana na Nyerere buhongwaNimetizama mahojiano ya huyu anayejiita mfalme Zumaridi na Mtangazaji wa Clouds, Millard Ayo na nimebaki na maswali mengi sana lakini kubwa ni kwamba ANATUCHUKULIAJE WATANZANIA?
Zumaridi anasema akiwa darasa la 3 alitokewa na Mungu akiwa na umbo la jua lakini usiku, kwa hiyo yeye aliweza kuangalia jua tena lililotokea Usiku.
Anasema yeye ameshaenda Mbinguni mara nyingi sana na mbinguni kuna nyumba za ghorofa na alipoenda motoni alikuta watu wanamlilia awaokoe wengine wanaongea kisukuma.
Zaidi anasema ameshakutana na Ibrahimu ambaye alimtambulisha kwa Eliya na Yakobo, na eti aliingia kwenye ofisi ya Mungu. Ningehoji Wasukuma mnatukuliaje sisi lakini nitaonekana mkabila, naacha tu.
Mwenye muda akatazame kwa Millard.
View attachment 2549515[/B]
Hongera km na wewe ni mfuasi wa huyu mwamba mimi ni mmoja wao haswaaa!!Huyu jamaa alipitia huko alikuwa hadi na Phd ya uchawi,aliweza wafikia hadi wale majemedari 6 wa serikali ya shetani, alikuwa na nguvu kuzidi hadi majini, keshafika hadi sayari zingine tusizozijua kichawi akiwasiliana na viumbe vya huko.
Akaacha yote akaamua kurudi kwa Mungu leo ni mtumishi Mkubwa na anajua siri nyingi Sana za Shetani anafundisha youtube na media zingine
Eeeh kazi ipoNimetizama mahojiano ya huyu anayejiita mfalme Zumaridi na Mtangazaji wa Clouds, Millard Ayo na nimebaki na maswali mengi sana lakini kubwa ni kwamba ANATUCHUKULIAJE WATANZANIA?
Zumaridi anasema akiwa darasa la 3 alitokewa na Mungu akiwa na umbo la jua lakini usiku, kwa hiyo yeye aliweza kuangalia jua tena lililotokea Usiku.
Anasema yeye ameshaenda Mbinguni mara nyingi sana na mbinguni kuna nyumba za ghorofa na alipoenda motoni alikuta watu wanamlilia awaokoe wengine wanaongea kisukuma.
Zaidi anasema ameshakutana na Ibrahimu ambaye alimtambulisha kwa Eliya na Yakobo, na eti aliingia kwenye ofisi ya Mungu. Ningehoji Wasukuma mnatukuliaje sisi lakini nitaonekana mkabila, naacha tu.
Mwenye muda akatazame kwa Millard.
View attachment 2549515[/B]
Tunamfuatilia ili tuweze kumpa msaada wa matibabu 🤓Mi nadhani tatizo litakuwa kwako. Utamfuatiliaje mtu mwenye tatizo la afya ya akili???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii dunia ina machizi mengi sana ...mbona wengi tu wanasema wameongea na Mungu.Msamehe bure tu kuna kitufe cha mawasiliano kichwani kwake kilinyofoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ujio mpya wa mfalme ni tishio KWA mitume na manabii,