Hivi huyu mtu anayejiita Mfalme Zumaridi anatuchukuliaje?

Hivi huyu mtu anayejiita Mfalme Zumaridi anatuchukuliaje?

Nimetizama mahojiano ya huyu anayejiita mfalme Zumaridi na Mtangazaji wa Clouds, Millard Ayo na nimebaki na maswali mengi sana lakini kubwa ni kwamba ANATUCHUKULIAJE WATANZANIA?
Hata huyo Millard ayo anayemrusha hewani kila siku Kwa sababu ya visenti vya kishetani anaendekezA upuuzi tu

She should be blacked out completely
 
Nimetizama mahojiano ya huyu anayejiita mfalme Zumaridi na Mtangazaji wa Clouds, Millard Ayo na nimebaki na maswali mengi sana lakini kubwa ni kwamba ANATUCHUKULIAJE WATANZANIA?

Zumaridi anasema akiwa darasa la 3 alitokewa na MUNGU akiwa na umbo la JUA lakini USIKU (Kwa hiyo yeye aliweza kuangalia JUA tena lililotokea Usiku)

Anasema yeye ameshaenda Mbinguni mara nyingi sana na mbinguni kuna nyumba za ghorofa na alipoenda motoni alikuta watu wanamlilia awaokoe wengine wanaongea KISUKUMA.

Zaidi anasema ameshakutana na Ibrahimu ambaye alimtambulisha kwa Eliya na Yakobo, na eti ALIINGIA KWENYE OFISI YA MUNGU.

Ningehoji Wasukuma mnatukuliaje sisi lakini nitaonekana mkabila, naacha tu

Mwenye muda akatazame kwa Millard.

View attachment 2549515

Wengi wa manabii wa uongo huwa wanasingizia walitokewa na Mungu, ili kuficha maswali.
 
Back
Top Bottom